Armani William
JF-Expert Member
- Jul 3, 2014
- 248
- 744
Akienda kwa hesabu hizi, sio chini ya 500 million atahiyaji kuanza. Kuwa na hiyo team ya sales and marketing budget inaweza kuwa 60 million kwa mwaka, na hiyo ni department moja.Kuna kitu kinaitwa 'massive production' unakuwa unazalisha kwa wingi kwa gharama zako, wakati huo idara ya masoko inafanya kazi yake, ndivyo wanavyofanya kwenye viwanda, huwa hawazalishi kwa order maalumu, bali wao wanazalisha kwa sababu bidhaa inahitajika na idara ya masoko itafanya kazi. Kwa huyu anayeanza anatakiwa atathmini uwezo wake wa kuzalisha pamoja na bei ya sokoni ulioianisha hapo juu 6000-10,000