Kuwa na wazo la kumiliki kiwanda

Akienda kwa hesabu hizi, sio chini ya 500 million atahiyaji kuanza. Kuwa na hiyo team ya sales and marketing budget inaweza kuwa 60 million kwa mwaka, na hiyo ni department moja.
 
Akienda kwa hesabu hizi, sio chini ya 500 million atahiyaji kuanza. Kuwa na hiyo team ya sales and marketing budget inaweza kuwa 60 million kwa mwaka, na hiyo ni department moja.
Nakubaliana nawe mkuu, anaweza kuanza kidogo kidogo huku akiendelea kukua; kabla ya kununua mashine aangalie gharama za malighafi pamoja na gharama za soko
 
Good idea. Hii mbinu inasaidia kupanua mawazo.
 
Kwamba na we ulianza hivi saiv ndo unamiliki kiwanda gani apa bongoland mkuu
Inawezekana ukawa umeelimisha akili yako ila ego yako ikawa bado haijatakasika na elim yako

Mzee mwezangu unajiabisha..
Ni Bora ukanyamaza na kuwaacha wanaoona possibility katka mawazo ya mtoa uzi wakajfunza vtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…