Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Ukomavu ni pale ambapo hauwalazimishi watu kukuchagua wewe
Kupanda ngazi moja katika mafanikio ni bora kuliko kutofanikiwa kabisa
Weka mkazo kwenye mchakato wa mafanikio na sio mafanio yenyewe
Ukimya wakati mwingine ni jibu lenye nguvu sana
Hakikisha una nguvu ya kutosha kuweza kufanikiwa mwenyewe
Amini mda unabadilisha kila kitu
Kupona kunachukua mda ila kunaanzia ndani ya nafsi yako
Kujipenda mwenyewe ni upendo bora zaidi ambao unaweza kuwa nao
Kwa nyuzi za kubadili mitazamo,kukua kifikra na kuwa mtu bora zaidi,usikose kunisoma
Ni hayo tu!