The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 1,497
- 2,681
Hamisa Mobeto amewapa heshima kubwa mno single mothers wote, jana amelipiwa mahari milioni 30 na ng'ombe 30. Hii ina maana watoto wake wa nje hawajawa sababu ya kushusha thamani yake, amewazidi wengi walioolewa wakiwa sio single mothers. Hii inatoa tafsiri kwamba thamani ya mwanamke bado inabaki kuwa kubwa bila kujali mapito yake
Kuwa single mother sio upungufu wa kinga mwilini, ni sehemu ya mapito tu, hao wanaume wanaolaani single mothers ndio wanaoongoza kwa kuchezea watoto wa watu
Mtu anasema hawezi kuoa single mother huku ana madem 10, kama hutaki kuoa single mother kaa bikra uje uoe ambaye hajawahi kufanya hayo mambo kama wewe vinginevyo tuliza mshono✅
Wapuuzi mnaokopi post zangu dawa yenu ipo jikon