Kuwa single mama sio ticket ya kukata tamaa

Hamisa Mobeto amewapa heshima kubwa mno single mothers wote, jana amelipiwa mahari milioni 30 na ng'ombe 30. Hii ina maana watoto wake wa nje hawajawa sababu ya kushusha thamani yake, amewazidi wengi walioolewa wakiwa sio single mothers. Hii inatoa tafsiri kwamba thamani ya mwanamke bado inabaki kuwa kubwa bila kujali mapito yake

Kuwa single mother sio upungufu wa kinga mwilini, ni sehemu ya mapito tu, hao wanaume wanaolaani single mothers ndio wanaoongoza kwa kuchezea watoto wa watu

Mtu anasema hawezi kuoa single mother huku ana madem 10, kama hutaki kuoa single mother kaa bikra uje uoe ambaye hajawahi kufanya hayo mambo kama wewe vinginevyo tuliza mshono✅

Mafala mnaokopi post zangu dawa yenu ipo jikon
SINGO MAMA WA KUMUOA NI YULE ALIYEFIWA NA MUMEWE TU......VINGINEVYO UMEOA KAH...BA.
 
Wakati wewe unampa sifa mwanamke mwenzio,

Sisi kataa ndoa tunamshangaa jamaa mara mbili(2).

1)kaamua kuoa
2)kaoa singo moda
 
SINGO MAMA WA KUMUOA NI YULE ALIYEFIWA NA MUMEWE TU......VINGINEVYO UMEOA KAH...BA.
Bora kutokuoa kabisaa mzee.

Unaeza kuoa singo maza wa hivyo ila kitoto kinakuja kukusumbua, ukitaka kutoa adhabu mama anakinga kifua, na hapo unakuta umeshazaa nae watoto wengine, watoto wako wa kuwazaa watapata picha gani? Dingi anadindiwa na bro/sis, hata vyenyewe vinaeza anza kudinda kwa kujifunza kwa mkubwa wao.

Huyo mtoto unamlea, ukubwani anaeza kuja kuku betray na usiwe na uwezo wa kupambana coz anakujua vizuuuri(waswahili husema kimkundmkun) na hapo kumbuka mama yake daima atakua upande wake.

Tujifunze maisha ya simba, huyu mnyama akikuta jike ana watoto, anaua wote kisha anaanza moja kuzaa damu yake.

Sasa kwa kuwa sisi binadamu tumejaaliwa utashi(sio kama simba) ni bora kuepuka singo maza na ikiwezekana kuepuka kuoa kabisaa mwanamke yeyote.
 
Naona Ki kahama benchinla wakataa ndoa, atalirudia tu, kaenda kwenye benchi lina mguu wa nyongeza.
Kama penati goli kubwa sana lile everyone never miss to score
 
Tukiwaambia mnawadharau wanawake na kuwaona ni kama bidhaa mnatuona tunachuki.

Tangu lini thamani ya Mtu ikawa kwenye Pesa?
Kama gari Lamborghini na IST hayo ndio huthaminishwa na Pesa

Kwamba Hamisa Mobeto aliyetolewa Mahari ya Milioni 30 na Ng'ombe 30 anathamani kubwa kuliko Mama WA wengi humu? Pengine kuliko hata Mawaziri, Rais au wakurugunzi?

Kama mama yako alitolewa Mahari Milioni 3 inamaana Mobeto kamshinda Mamaako zaidi ya mara kumi kwa thamani?

Watumwa ndio wanathaminishwa.

Thamani ya Mtu ipo kwenye UTU wake. Tabia Njema, Tija kwenye jamii yake, heshima yake, akili yake, wajibu na majukumu yake.

Ni watu wenye Akili ndogo tuu ndio wanaweza kufikiri Kwa namna ya Mada hii
 
Nadhani hujamwelewa vizuri
 
Back
Top Bottom