Kuwa single mateso

Kuwa single mateso

Huko kwenye mahusiano kugumu sana sometimes unaona bora kuwa single kwa maana ya nafsi,yaani hauruhusu kupendana na mtu,lakini kimwili unakuwa sio single,vitendea kazi vinatumika.

Kinachofanya single kuwa kitu adimu ni kwamba,wale watu tunaowapenda na kuwaamini ndio wanakuwa mwiba mchungu,wanakufanya uone maisha si kitu tena.

Ila mapenzi matamu kipindi cha good days,yakibadilika huwa machungu kama shubiri.

So.. mi naona kuwa na mwenza au kutokuwa nae inategemea fungu lako lilipo.unaweza kuwa mtu wa furaha au huzuni.

Kuwa na mwenza ni jambo zuri sana kwenye maisha,tatizo ni huyo mwenza mwenyewe.

Daaah[emoji3166]
 
Back
Top Bottom