maandamano
JF-Expert Member
- Nov 12, 2025
- 726
- 1,548
Nakumbuka nikiwa mdogo, nilikuwa nikiangali vitabu vya Vita vya Kagera nilikuwa namlaani sana Iddy Amini,nilijiapiza kwa Mungu alaniwe huyu mtu ingawa umri wangu ulikuwa mdogo sana,nilipokuwa nakuwa niliona inchi kama Zaire ya mabutu walivyomtendea Patriki Lumbumba
Leo nashuhudia inchi yangu pendwa Tanzania Viongozi wa serikali wakitenda unyama mkubwa dhidi ya rai zao, kweli yale niliyoyasoma kwenye kitabu nayaona kwa macho yangu,kisa watu wanataka waendelee kubaki madarakani