Kuwa wakala wa nywele bandia kama weaving, laster, wig n.k

Kuwa wakala wa nywele bandia kama weaving, laster, wig n.k

JRT

Member
Joined
Mar 12, 2021
Posts
5
Reaction score
5
Nataka kuwa wakala wa nywele bandia za makampuni ya hapa Tanzania mfano daring hair, prima hair n.k.

Mwenye uzoefu wa biashara hii na pia utalatibu wa mchakato mzima pamoja na kianzio cha mtaji kila company anisaidie.

Nitashukuru sana.
 
Kila kitu vilivyotajwa 👆👆 ninavyo tiar
Mpaka hapo kazi umemaliza. Nenda kwenye ofisi/viwanda vyao watakupa mkataba na mzigo utakuwa unalipa kulingana na makubaliano ya mkataba.
 
Back
Top Bottom