MOSHI UFUNDI
JF-Expert Member
- Nov 25, 2022
- 526
- 1,222
Na vipi hapo kwenye Risk mkuu?Unatafuta mwenyewe, kakae makumbusho au msasani
UnpredictableNa vipi hapo kwenye Risk mkuu?
Na vip lile soko la sarafu haliwezi kuathir?Unpredictable
Rahisi kupoteza hela haswa kutuma kwingine
Non refundable
Nipo nawasubiri hapa mkuu.Wanakuja wajuzi
UnpredictableNa vip lile soko la sarafu haliwezi kuathir?
Habari wa kuu nimeona capital ya hii biashara ya uwakala wa p2p katika binance wanadai ianzie 1000$ .
Ila nina baadhi ya maswali naomba msaada wenu.
1. Vipi risk ya hii biashara?
2. Vipi wateja unatafuta mwenyewe au imekaa vipi?
Duh mkuu ujue me mgeni sana kwenye hii industry hiyo Escrow system inamaana gani?Sio lazima uwe na $1000, ata $100 unaanza biz. Sema changamoto ni faida ndogo sana labda uwe unajua kitu kinaitwa ARBITRAGE TRADING ndio utapata faida kubwa. Ikiangalia bei ya kununua na kuuza zinafanana sasa faida unapata wapi mkuu labda uwe na lain za uwakala ulipe commission mwisho wa mwezi.
View attachment 2972298
View attachment 2972299
Risk ni pale unapojichanganya kutuma pesa hujaweka oda au ku release coins bila kuangalia malipo vizuri kwenye simu yako. Ukiachana na hizo mbili hapo juu no risk kwasababu kuna escrow system ndani ya P2P.
Upande wa bei kununua ni 2830 TZS, na kuuza 2832 TZS. π
"In escrow" is a type of legal holding account for items, which can't be released until predetermined conditions are satisfied.Duh mkuu ujue me mgeni sana kwenye hii industry hiyo Escrow system inamaana gani?
Mkuu naweza pata mawasiliano yako PM?"In escrow" is a type of legal holding account for items, which can't be released until predetermined conditions are satisfied.
SureMkuu naweza pata mawasiliano yako PM?
Mkuu hapo kwenye laini za uwakala unafanyaje kakaSio lazima uwe na $1000, ata $100 unaanza biz. Sema changamoto ni faida ndogo sana labda uwe unajua kitu kinaitwa ARBITRAGE TRADING ndio utapata faida kubwa. Ikiangalia bei ya kununua na kuuza zinafanana sasa faida unapata wapi mkuu labda uwe na lain za uwakala ulipe commission mwisho wa mwezi.
View attachment 2972298
View attachment 2972299
Risk ni pale unapojichanganya kutuma pesa hujaweka oda au ku release coins bila kuangalia malipo vizuri kwenye simu yako. Ukiachana na hizo mbili hapo juu no risk kwasababu kuna escrow system ndani ya P2P.
Upande wa bei kununua ni 2830 TZS, na kuuza 2832 TZS. π
Client anapo weka order ya kuuza dollar kwako kupitia exchange rate uliyo iweka Binance, unatakiwa kununua kwa kumlipa kupitia namba yake ya simuMkuu hapo kwenye laini za uwakala unafanyaje kaka
Nimekuelewa mkuu...na unapojiunga na binance wateja wa namna io unawapatajeClient anapo weka order ya kuuza dollar kwako kupitia exchange rate uliyo iweka Binance, unatakiwa kununua kwa kumlipa kupitia namba yake ya simu
Hivyo ili upate faida kubwa, angalau ni kwa kupitia commission ya laini ya uwakala ambapo kila utakapokuwa una deposit pesa kwa clients ndio commission yako mwisho wa mwezi inakuwa kubwa
Ni same as Mawakala wa Tigo pesa na mitandao ya cm mengine wanavoingiza profit
Ndani ya Binance kwenye P2P kuna option ya kuweka tangazo lako ambalo utaweka exchange rate zakoNimekuelewa mkuu...na unapojiunga na binance wateja wa namna io unawapataje