BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 5,259
- 10,078
Mkuu habari??Ndani ya Binance kwenye P2P kuna option ya kuweka tangazo lako ambalo utaweka exchange rate zako
Client akiingia ataona matangazo kutoka kwa vendors tofauti including you
Hivyo atachagua yeye ni rate ipi nzuri kwake kwa wakati huo, pia kuna factor nyengine ambazo client ataangalia ili aweze ku place order kwako
1. Kiwango cha pesa anachokitaka
Mfano client anataka ku change dollar 500 kwa wakati mmoja basi client ataangalia ni vendor gani mwenye kiasi hicho kwenye account yake kwa wakati huo, vendors wana nunua sana dollar kwa clients hivyo unakuta balance ya TSH kwenye account zao zinapungua au kuisha kabisa kwa siku hiyo
2. Mtandao wa simu for depositing
Kupitia matangazo hayo vendors wana deposit pesa kupitia mitandao ya simu, hivyo client anaangalia ni vendor gani ana option ya mtandao anaotaka yeye aingiziwe pesa yake
3. Muda wa order kukamilika
Kuna baadhi ya vendors wapo faster ku process order and vice versa
View attachment 2986316
Natamani kufanya hii biashara naweza pata maelekezo zaid kama hautojali?