Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,042
- 6,854
Hakuna wakati kama sasa katika historia ya nchi hii tokea tulipopata Uhuru ambapo wananchi wamekuwa katika hali ya wasiwasi mkubwa. Wananchi wameshindwa kuelewa Serikali inafanya maamuzi kwa kutumia vigezo gani na wananchi wengi wanakuwa na hofu kuhusu Usalama wao. Ukiwarudisha wabunge nyumbani sasa hivi ina maana nchi itaongozwa na nani sijui,mambo tu ambayo yataongeza hali ya wasiwasi iliyopo. Uongozi utakuwa wa Tawala za Mikoa na tumeona kazi nzuri inayofanywa na Mchengerwa,that Good Man ambaye amekuwa anaiongoza Ile Wazara kwa umakini.
Ukisogeza mbele siku ya kuvunja Bunge watu watapata muda zaidi wa kujitayarisha kwa Uchaguzi . Uchaguzi huu naamini utakuwa shwari kama kawaida ya Uchaguzi. Ukisogeza mbele siku ya kumaliza Bunge Vyama vitafanya matayarisho kwa Uchaguzi,kutayarisha kwaya,na mambo mengine.