Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,042
- 6,854
We bd ni mtoto bila shaka, tulia jifunze utaelewa tu utaratibuHakuna wakati kama sasa katika historia ya nchi hii tokea tulipopata Uhuru ambapo wananchi wamekuwa katika hali ya wasiwasi mkubwa. Wananchi wameshindwa kuelewa Serikali inafanya maamuzi kwa kutumia vigezo gani na wananchi wengi wanakuwa na hofu kuhusu Usalama wao. Ukiwarudisha wabunge nyumbani sasa hivi ina maana nchi itaongozwa na nani sijui,mambo tu ambayo yataongeza hali ya wasiwasi iliyopo. Uongozi utakuwa wa Tawala za Mikoa na tumeona kazi nzuri inayofanywa na Mchengerwa,that Good Man ambaye amekuwa anaiongoza Ile Wazara kwa umakini.
Ukisogeza mbele siku ya kuvunja Bunge watu watapata muda zaidi wa kujitayarisha kwa Uchaguzi . Uchaguzi huu naamini utakuwa shwari kama kawaida ya Uchaguzi. Ukisogeza mbele siku ya kumaliza Bunge Vyama vitafanya matayarisho kwa Uchaguzi,kutayarisha kwaya,na mambo mengine.
Tanzania ina matikiti maji mengi sana.Hakuna wakati kama sasa katika historia ya nchi hii tokea tulipopata Uhuru ambapo wananchi wamekuwa katika hali ya wasiwasi mkubwa. Wananchi wameshindwa kuelewa Serikali inafanya maamuzi kwa kutumia vigezo gani na wananchi wengi wanakuwa na hofu kuhusu Usalama wao. Ukiwarudisha wabunge nyumbani sasa hivi ina maana nchi itaongozwa na nani sijui,mambo tu ambayo yataongeza hali ya wasiwasi iliyopo. Uongozi utakuwa wa Tawala za Mikoa na tumeona kazi nzuri inayofanywa na Mchengerwa,that Good Man ambaye amekuwa anaiongoza Ile Wazara kwa umakini.
Ukisogeza mbele siku ya kuvunja Bunge watu watapata muda zaidi wa kujitayarisha kwa Uchaguzi . Uchaguzi huu naamini utakuwa shwari kama kawaida ya Uchaguzi. Ukisogeza mbele siku ya kumaliza Bunge Vyama vitafanya matayarisho kwa Uchaguzi,kutayarisha kwaya,na mambo mengine.
Mkuu Popi, Poppy Hatonn , Bunge likimalizika hakuna mbunge anayeambiwa aende nyumbani, ni kila aliyekuja Bungeni anarejea mwenyewe alikotoka, na kuna wabunge kibao wanabakigi Dodoma kwa sababu wanakuwa wamejijenga hapo Dodoma.Ukisogeza mbele siku ya kuvunja Bunge watu watapata muda zaidi wa kujitayarisha kwa Uchaguzi . Uchaguzi huu naamini utakuwa shwari kama kawaida ya Uchaguzi. Ukisogeza mbele siku ya kumaliza Bunge Vyama vitafanya matayarisho kwa Uchaguzi,kutayarisha kwaya,na mambo mengine.
Wabunge wana umuhimu gani kwenye nchi hii zaidi ya maslahi yao binafsi? Tena bunge lenyewe ni hili kibogoyo?Hakuna wakati kama sasa katika historia ya nchi hii tokea tulipopata Uhuru ambapo wananchi wamekuwa katika hali ya wasiwasi mkubwa. Wananchi wameshindwa kuelewa Serikali inafanya maamuzi kwa kutumia vigezo gani na wananchi wengi wanakuwa na hofu kuhusu Usalama wao. Ukiwarudisha wabunge nyumbani sasa hivi ina maana nchi itaongozwa na nani sijui,mambo tu ambayo yataongeza hali ya wasiwasi iliyopo. Uongozi utakuwa wa Tawala za Mikoa na tumeona kazi nzuri inayofanywa na Mchengerwa,that Good Man ambaye amekuwa anaiongoza Ile Wazara kwa umakini.
Ukisogeza mbele siku ya kuvunja Bunge watu watapata muda zaidi wa kujitayarisha kwa Uchaguzi . Uchaguzi huu naamini utakuwa shwari kama kawaida ya Uchaguzi. Ukisogeza mbele siku ya kumaliza Bunge Vyama vitafanya matayarisho kwa Uchaguzi,kutayarisha kwaya,na mambo mengine.
safari unagombea ?Mkuu Popi, Poppy Hatonn , Bunge likimalizika hakuna mbunge anayeambiwa aende nyumbani, ni kila aliyekuja Bungeni anarejea mwenyewe alikotoka, na kuna wabunge kibao wanabakigi Dodoma kwa sababu wanakuwa wamejijenga hapo Dodoma.
Wizara zote zinakuwa chini ya ma PS, hakuna kitu kinachosimama.
P
Unachukua Fomu ?Mkuu Popi, Poppy Hatonn , Bunge likimalizika hakuna mbunge anayeambiwa aende nyumbani, ni kila aliyekuja Bungeni anarejea mwenyewe alikotoka, na kuna wabunge kibao wanabakigi Dodoma kwa sababu wanakuwa wamejijenga hapo Dodoma.
Wizara zote zinakuwa chini ya ma PS, hakuna kitu kinachosimama.
P