Transisco06
JF-Expert Member
- Feb 23, 2025
- 1,033
- 1,013
Wabunge hao toka walipo ruhusu DP world ikatukanda sijawahi waelewaMkuu Popi, Poppy Hatonn , Bunge likimalizika hakuna mbunge anayeambiwa aende nyumbani, ni kila aliyekuja Bungeni anarejea mwenyewe alikotoka, na kuna wabunge kibao wanabakigi Dodoma kwa sababu wanakuwa wamejijenga hapo Dodoma.
Wizara zote zinakuwa chini ya ma PS, hakuna kitu kinachosimama.
P
Dah! Afadhali wewe umemuelewa.kuanzia bunge la 1,mpaka leo hii ni bunge la 12, utaratibu ndiyo huo!.
Mada imetoka kwa mpumbavu mmoja ndani ya ccm....kuwaongezea wabunge muda wa kula na ku💩bungeni kuna faida gani kwa nchi ?Hakuna wakati kama sasa katika historia ya nchi hii tokea tulipopata Uhuru ambapo wananchi wamekuwa katika hali ya wasiwasi mkubwa. Wananchi wameshindwa kuelewa Serikali inafanya maamuzi kwa kutumia vigezo gani na wananchi wengi wanakuwa na hofu kuhusu Usalama wao. Ukiwarudisha wabunge nyumbani sasa hivi ina maana nchi itaongozwa na nani sijui,mambo tu ambayo yataongeza hali ya wasiwasi iliyopo. Uongozi utakuwa wa Tawala za Mikoa na tumeona kazi nzuri inayofanywa na Mchengerwa,that Good Man ambaye amekuwa anaiongoza Ile Wazara kwa umakini.
Ukisogeza mbele siku ya kuvunja Bunge watu watapata muda zaidi wa kujitayarisha kwa Uchaguzi . Uchaguzi huu naamini utakuwa shwari kama kawaida ya Uchaguzi. Ukisogeza mbele siku ya kumaliza Bunge Vyama vitafanya matayarisho kwa Uchaguzi,kutayarisha kwaya,na mambo mengine.
Hao Monks toka wameona solution ni kukopa sijawahi waelewa, mikopo ni utumwa mpya,hakuna jipya,wamekopa rejesho Moja ni zaidi ya robotatu ya mapato yetu kwa mwezi,huo ni uchawi kama uchawi mwingine.Mkuu Popi, Poppy Hatonn , Bunge likimalizika hakuna mbunge anayeambiwa aende nyumbani, ni kila aliyekuja Bungeni anarejea mwenyewe alikotoka, na kuna wabunge kibao wanabakigi Dodoma kwa sababu wanakuwa wamejijenga hapo Dodoma.
Wizara zote zinakuwa chini ya ma PS, hakuna kitu kinachosimama.
P
Daah, pole sana. Maisha bila kazi ni mtihani. Karibuni mtaani muone machungu ya kuwa Jobless. Sio sahihi kusema bila Bunge, nchi itakosa viongozi. Wabunge ni wawakilishi wa wananchi tuu sio viongozi wa wananchi. Nchi ina viongozi ambao wamekua wakiongoza kila siku. Hao wanakuwepo mpaka wakati wao wa kustaafu ukifika.Hakuna wakati kama sasa katika historia ya nchi hii tokea tulipopata Uhuru ambapo wananchi wamekuwa katika hali ya wasiwasi mkubwa. Wananchi wameshindwa kuelewa Serikali inafanya maamuzi kwa kutumia vigezo gani na wananchi wengi wanakuwa na hofu kuhusu Usalama wao. Ukiwarudisha wabunge nyumbani sasa hivi ina maana nchi itaongozwa na nani sijui,mambo tu ambayo yataongeza hali ya wasiwasi iliyopo. Uongozi utakuwa wa Tawala za Mikoa na tumeona kazi nzuri inayofanywa na Mchengerwa,that Good Man ambaye amekuwa anaiongoza Ile Wazara kwa umakini.
Ukisogeza mbele siku ya kuvunja Bunge watu watapata muda zaidi wa kujitayarisha kwa Uchaguzi . Uchaguzi huu naamini utakuwa shwari kama kawaida ya Uchaguzi. Ukisogeza mbele siku ya kumaliza Bunge Vyama vitafanya matayarisho kwa Uchaguzi,kutayarisha kwaya,na mambo mengine.
Yaani watu kama wewe ni hatari sana na hii inathibitisha kuna washauri wa mama wanamtisha Kwa faida binafsiHakuna wakati kama sasa katika historia ya nchi hii tokea tulipopata Uhuru ambapo wananchi wamekuwa katika hali ya wasiwasi mkubwa. Wananchi wameshindwa kuelewa Serikali inafanya maamuzi kwa kutumia vigezo gani na wananchi wengi wanakuwa na hofu kuhusu Usalama wao. Ukiwarudisha wabunge nyumbani sasa hivi ina maana nchi itaongozwa na nani sijui,mambo tu ambayo yataongeza hali ya wasiwasi iliyopo. Uongozi utakuwa wa Tawala za Mikoa na tumeona kazi nzuri inayofanywa na Mchengerwa,that Good Man ambaye amekuwa anaiongoza Ile Wazara kwa umakini.
Ukisogeza mbele siku ya kuvunja Bunge watu watapata muda zaidi wa kujitayarisha kwa Uchaguzi . Uchaguzi huu naamini utakuwa shwari kama kawaida ya Uchaguzi. Ukisogeza mbele siku ya kumaliza Bunge Vyama vitafanya matayarisho kwa Uchaguzi,kutayarisha kwaya,na mambo mengine.
Kwa huwezi kuchangia bila kutukana mtu mpumbavu?.Mada imetoka kwa mpumbavu mmoja ndani ya ccm....kuwaongezea wabunge muda wa kula na ku💩bungeni kuna faida gani kwa nchi ?
Wewe kweli ndiye mtoto na mgeni JF.We bd ni mtoto bila shaka, tulia jifunze utaelewa tu utaratibu
Mpumbavu kuitwa mpumbavu siyo tusi ...kama wewe nikikuita Mpumbavu sijakutukana ni hakiyako pokea kwa mikono miwili ...au una maana katika dini yako mungu katukana ? Maana imeandikwa mungu anasema 👉 ni mpumbavu mtuyule asemaye hakuna munguKwa huwezi kuchangia bila kutukana mtu mpumbavu?.
P
Utakuwa umeanza kufuatilia siasa mwaka jana,kwa kawaida na kwa mujibu wa katiba bunge linavunjwa ndo mchakato wa uchaguzi unaanza. Pili mawaziri licha ya bunge kuvunjwa kwa mujibu wa katiba wanaendelea kuwa mawaziri mpaka siku rais mpya akiapishwa/ aliyepo akiapishwa tena kushika muhula wa pili.Hakuna wakati kama sasa katika historia ya nchi hii tokea tulipopata Uhuru ambapo wananchi wamekuwa katika hali ya wasiwasi mkubwa. Wananchi wameshindwa kuelewa Serikali inafanya maamuzi kwa kutumia vigezo gani na wananchi wengi wanakuwa na hofu kuhusu Usalama wao. Ukiwarudisha wabunge nyumbani sasa hivi ina maana nchi itaongozwa na nani sijui,mambo tu ambayo yataongeza hali ya wasiwasi iliyopo. Uongozi utakuwa wa Tawala za Mikoa na tumeona kazi nzuri inayofanywa na Mchengerwa,that Good Man ambaye amekuwa anaiongoza Ile Wazara kwa umakini.
Ukisogeza mbele siku ya kuvunja Bunge watu watapata muda zaidi wa kujitayarisha kwa Uchaguzi . Uchaguzi huu naamini utakuwa shwari kama kawaida ya Uchaguzi. Ukisogeza mbele siku ya kumaliza Bunge Vyama vitafanya matayarisho kwa Uchaguzi,kutayarisha kwaya,na mambo mengine.
Bwana mkubwa hapa umepotosha,mawaziri wote wanaendelea kwenye nafasi zao watakoma kuwa mawaziri siku mama yenu akiapishwa tena kuwa rais hapo ndo wataongoza mapsMkuu Popi, Poppy Hatonn , Bunge likimalizika hakuna mbunge anayeambiwa aende nyumbani, ni kila aliyekuja Bungeni anarejea mwenyewe alikotoka, na kuna wabunge kibao wanabakigi Dodoma kwa sababu wanakuwa wamejijenga hapo Dodoma.
Wizara zote zinakuwa chini ya ma PS, hakuna kitu kinachosimama.
P
Raisi achapw3 ngapi?Itungwe sheria ya wananchi kucharaza fimbo si chini ya 500 wabunge wao walioshindwa kuendeleza majimbo yao. Lazima tuwashikishe adabu hawa wabunge vilaza.
Nani alikuambia nchi huwa inaendeshwa na wabunge? Mwalimu wako wa somo la uraia alikuwa nani???Hakuna wakati kama sasa katika historia ya nchi hii tokea tulipopata Uhuru ambapo wananchi wamekuwa katika hali ya wasiwasi mkubwa. Wananchi wameshindwa kuelewa Serikali inafanya maamuzi kwa kutumia vigezo gani na wananchi wengi wanakuwa na hofu kuhusu Usalama wao. Ukiwarudisha wabunge nyumbani sasa hivi ina maana nchi itaongozwa na nani sijui,mambo tu ambayo yataongeza hali ya wasiwasi iliyopo. Uongozi utakuwa wa Tawala za Mikoa na tumeona kazi nzuri inayofanywa na Mchengerwa,that Good Man ambaye amekuwa anaiongoza Ile Wazara kwa umakini.
Ukisogeza mbele siku ya kuvunja Bunge watu watapata muda zaidi wa kujitayarisha kwa Uchaguzi . Uchaguzi huu naamini utakuwa shwari kama kawaida ya Uchaguzi. Ukisogeza mbele siku ya kumaliza Bunge Vyama vitafanya matayarisho kwa Uchaguzi,kutayarisha kwaya,na mambo mengine.
yeye anastahili 1,000 tuRaisi achapw3 ngapi?