Kuwaambia wengine move on ni rahisi sasa ngoja yakushenyete sasa

Ku move on wala hakujawahi kuwa shida, tatizo lenu mnataka kujitia umuhimu kwenye maisha ya watu.
Jitu umekutana nslo ushakatika kitovu, bado likusumbue
We bado hayajakuivisha vizury, wacha tuongeze maji mpaka uive ndo tutasemezana kauli moja
 
Sawa mkuu ila haikufanyi utake kujitoa uhai

Mbona viumbe wengine wapo wengi tu wa kudate nao na mkawa na furaha

Tu move on tu mkuu
Hujawahi ona mtu kaua au kauliwa kisa neno move on unataka mpaka marejeleo tukupa ndo uamini
 
Haya mambo yakikuzidia unakuwa sugu. Kwahiyo kumwambia mtu a'move on wala sio kesi
 
Hujawahi ona mtu kaua au kauliwa kisa neno move on unataka mpaka marejeleo tukupa ndo uamini
Sawa ila inabid ukaze tu

We move on tu kujiua au kuua sio suluhisho mbona bado kuna watu wengi wa kudate nao
 
Sawa ila inabid ukaze tu

We move on tu kujiua au kuua sio suluhisho mbona bado kuna watu wengi wa kudate nao
Unalosema upo sahihi lakini si wote wana moyo wa chuma kama wako
 
Em tafuta Kuku choma nusu,ndizi mzuzu moja kula ushibe.
Halafu piga castle lite 4 walah ukiendelea kuteseka na mapenzi basi tena!
 
Em tafuta Kuku choma nusu,ndizi mzuzu moja kula ushibe.
Halafu piga castle lite 4 walah ukiendelea kuteseka na mapenzi basi tena!
Changanya vyote hivyo utavimbiwa alafu sasa unaweza kuchizika zikiisha pombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…