Kuwaambia wengine move on ni rahisi sasa ngoja yakushenyete sasa

Hata naelewa basi
Lazima itakua ni nyege sio kitu kingine kinachowafanya watu watake kujiua zaidi ya nyege mkombozi wenu dildo amewafikia, nawakumbusha wanaume ukienda kwenye chumba cha mwanamke ambae unajua fika kabisa anaishi peke yake hana boyfriend hana mume na hajawahi kuolewa ukakuta kuna matango yamewekwa kwenye bakuri, sahani, sinia au ndani ya friji tafadhari sana kaa mbali na hivyo vitendea kazi vya huyo mwanamke usijifanye unapenda sana matunda mind your business my brother usile hayo matango yapo hapo kwa kazi maalum
 
Unaweza maliza maneno kumbe ni heartbreak ya 1st love mtoa utandu 🤣 maumivu mengine lazima uyapitie kwanza!
Hahaha yaan ili dhahabu iwe dhahabu lazima ipite kwenye tanuru lenye moto bila hivyo dhahabu haiwezi kua dhahabu, hope tunaanza kuelewana vizuri yale maumivu ya mwanzo ndio yanayokukamirisha na kukuimarisha ukijikwaa mara moja wakati wa kwenda huwezi kujikwaa mara mbili wakati wa kurudi maana ushajua ni wapi ulipojikwaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…