Tindo JF-Expert Member Joined Sep 28, 2011 Posts 63,730 Reaction score 111,542 Dec 24, 2020 #21 mama D said: Wakurugenzi hawakua na sababu ya kununua magari ya gharama kiasi hicho. Wameonyesha wazi kwamba wao hawana vipaumbele wala hawakubaliani na dhana ya kupunguza gharama zisizo za lazima kwa maendeleo ya nchi Click to expand... Ni kweli, unazungumziaje misafara ya rais na matumizi yaliyopo?
mama D said: Wakurugenzi hawakua na sababu ya kununua magari ya gharama kiasi hicho. Wameonyesha wazi kwamba wao hawana vipaumbele wala hawakubaliani na dhana ya kupunguza gharama zisizo za lazima kwa maendeleo ya nchi Click to expand... Ni kweli, unazungumziaje misafara ya rais na matumizi yaliyopo?
B babu ibrahim JF-Expert Member Joined Dec 25, 2016 Posts 253 Reaction score 108 Dec 24, 2020 #22 Tukimalizana na hao tutaridiana wenyewe kwa wenyewe ndio raha ya dhambi ya usaliti