Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Ni kweli, unazungumziaje misafara ya rais na matumizi yaliyopo?Wakurugenzi hawakua na sababu ya kununua magari ya gharama kiasi hicho.
Wameonyesha wazi kwamba wao hawana vipaumbele wala hawakubaliani na dhana ya kupunguza gharama zisizo za lazima kwa maendeleo ya nchi