Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Kinachomtokea Mbunge Mpina katika hili sakata la maumivu ya Sukari na ushiriki wa Waziri Bashe na hujuma zake ni wazi ni njama za Spika wa Bunge Dr Tulia kushirikiana na serikali kuwafunga mdomo wabunge wazalendo na watetezi wetu Bungeni.
Spika kajitoa katika uwakilishi wa wananchi kama kiongozi wa Bunge sasa ni mtetezi wa Serikali katika kukandamiza wananchi. Fimbo yake ni kamati ya maadili ya Bunge, sasa na sie kama waajiri wake Spika Tulia tumpeleke katika kamati ya maadili ya wananchi ajadiliwe kwa mapana na ikiwezekana tumkatae kwa sauti kubwa na adhabu ianzie huko Mbeya.
Kwa nini kila mbunge anayejitokeza kusema ukweli anaandamwa? Sasa kazi ya mbunge inatakiwa kuwa chawa wakati hawakuomba kura kuwa chawa bungeni?
Tutamke kwa sauti kuu #HATUKUTAKI-DRTULIA
======
Pia soma: