Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
- Thread starter
- #21
Nakuunga mkono kwenye kabisa! Haya mambo ya hovyo yafanywayo na viongozi ni maagizo ya chama chao CCM na ndio maana huoni wakiwa waoga wala wenye aibu watendapo.Na siamini hata kwa sekunde moja, kwamba yanayofanywa na Bashe ni yake mwenyewe. Hana uwezo na hata ujasiri wa kuyafanya hayo.
Pia ona nguvu itumikayo kuwalinda! Hicho kispika kinakomaa kama kichawi kukazia maumivu.