Kinachomtokea Mbunge Mpina katika hili sakata la maumivu ya Sukari na ushiriki wa Waziri Bashe na hujuma zake ni wazi ni njama za Spika wa Bunge Dr Tulia kushirikiana na serikali kuwafunga mdomo wabunge wazalendo na watetezi wetu Bungeni.
Spika kajitoa katika uwakilishi wa wananchi kama kiongozi wa Bunge sasa ni mtetezi wa Serikali katika kukandamiza wananchi. Fimbo yake ni kamati ya maadili ya Bunge, sasa na sie kama waajiri wake Spika Tulia tumpeleke katika kamati ya maadili ya wananchi ajadiliwe kwa mapana na ikiwezekana tumkatae kwa sauti kubwa na adhabu ianzie huko Mbeya.
Kwa nini kila mbunge anayejitokeza kusema ukweli anaandamwa? Sasa kazi ya mbunge inatakiwa kuwa chawa wakati hawakuomba kura kuwa chawa bungeni?
Kwa ujinga wake, anafikiria kwa kufanya hivyo anawasaidia Rais na Bashe, kumbe ndiyo anazidi kuwasiriba kwa uchafu. Watu watamchukia Rais zaidi, Bashe na Serikali nzima kwa ujumla. Hii itapeleka ujumbe kwa wananchi kuwa kumbe huo uovu wa Bashe haukuwa wake peke yake bali ni wa Serikali nzima, na CCM yote.
Watachagua mwingine ambae atakuwa upande wa serikali. Atakuwa puppet again. The best way ni katiba ibadilishwe of how speaker anapatikana else tunazunguka pale pale

Safi, kama mabadiliko ya katiba yatawalinda wabunge wetu wanaosimamia maslahi ya wananchi basi ni jambo jema kabisa. Kwetu sisi wananchi mbunge bora ni yule anayeiwajibisha serikali kwa niaba yetu bila kujali ni wa chama gani.
Kinachomtokea Mbunge Mpina katika hili sakata la maumivu ya Sukari na ushiriki wa Waziri Bashe na hujuma zake ni wazi ni njama za Spika wa Bunge Dr Tulia kushirikiana na serikali kuwafunga mdomo wabunge wazalendo na watetezi wetu Bungeni.
Spika kajitoa katika uwakilishi wa wananchi kama kiongozi wa Bunge sasa ni mtetezi wa Serikali katika kukandamiza wananchi.
Fimbo yake ni kamati ya maadili ya Bunge, sasa na sie kama waajiri wake Spika Tulia tumpeleke katika kamati ya maadili ya wananchi ajadiliwe kwa mapana na ikiwezekana tumkatae kwa sauti kubwa na adhabu ianzie huko Mbeya.
Kwa nini kila mbunge anayejitokeza kusema ukweli anaandamwa? Sasa kazi ya mbunge inatakiwa kuwa chawa wakati hawakuomba kura kuwa chawa bungeni?
Tutamke kwa sauti kuu #HATUKUTAKI-DRTULIA

Spika wa bunge ni kama Referee kwenye mchezo wa kandanda. Anapaswa kuwa neutral asiyeegemea upande wowote.
Anna Makinda alijionesha kutoegemea upande wowote. She was very neutral. Samuel Sitta na Job Ndugaye walijionesha kuegemea upande ule wa wananchi na kuupa taabu ule upande wa pili hususani kwenye lile sakata la Richmond na lile la ESCROW.
Dr Tulia yeye kajionesha kama kuegemea ule upande wa pili. Hiyo ndiyo siasa, waamuzi wa mwisho kwenye huu mchezo wa siasa ni wananchi ifikapo 2025, yaani Sugu vs Tulia huko Mbeya. Lakini kwa jinsi mchezo huu unavyoendelea ni dhahiri kwamba Tulia atapata ushindi wa kishindo wa asilimia 80% na Bw. Mpina huko Kisesa jina lake halitapita kwa wajumbe, labda atafute chama kingine.
Safi, kama mabadiliko ya katiba yatawalinda wabunge wetu wanaosimamia maslahi ya wananchi basi ni jambo jema kabisa.
Kwetu sisi wananchi mbunge bora ni yule anayeiwajibisha serikali kwa niaba yetu bila kujali ni wa chama gani.
Spika wa bunge ni kama Referee kwenye mchezo wa kandanda. Anapaswa kuwa neutral asiyeegemea upande wowote.
Anna Makinda alijionesha kutoegemea upande wowote. She was very neutral. Samuel Sitta na Job Ndugaye walijionesha kuegemea upande ule wa wananchi na kuupa taabu ule upande wa pili hususani kwenye lile sakata la Richmond na lile la ESCROW.
Dr Tulia yeye kajionesha kama kuegemea ule upande wa pili. Hiyo ndiyo siasa, waamuzi wa mwisho kwenye huu mchezo wa siasa ni wananchi ifikapo 2025, yaani Sugu vs Tulia huko Mbeya. Lakini kwa jinsi mchezo huu unavyoendelea ni dhahiri kwamba Tulia atapata ushindi wa kishindo wa asilimia 80% na Bw. Mpina huko Kisesa jina lake halitapita kwa wajumbe, labda atafute chama kingine.
Spika wa bunge ni kama Referee kwenye mchezo wa kandanda. Anapaswa kuwa neutral asiyeegemea upande wowote.
Anna Makinda alijionesha kutoegemea upande wowote. She was very neutral. Samuel Sitta na Job Ndugaye walijionesha kuegemea upande ule wa wananchi na kuupa taabu ule upande wa pili hususani kwenye lile sakata la Richmond na lile la ESCROW.
Dr Tulia yeye kajionesha kama kuegemea ule upande wa pili. Hiyo ndiyo siasa, waamuzi wa mwisho kwenye huu mchezo wa siasa ni wananchi ifikapo 2025, yaani Sugu vs Tulia huko Mbeya. Lakini kwa jinsi mchezo huu unavyoendelea ni dhahiri kwamba Tulia atapata ushindi wa kishindo wa asilimia 80% na Bw. Mpina huko Kisesa jina lake halitapita kwa wajumbe, labda atafute chama kingine.
Spika chawa wa Rais na ni mjumbe wa kamati kuu ya CCM ambapo Rais ndiyo Mwenyekiti, kwaiyo Spika anapewa maelekezo na chama namna vile wanapenda Bunge liendeshwe!
Kinachomtokea Mbunge Mpina katika hili sakata la maumivu ya Sukari na ushiriki wa Waziri Bashe na hujuma zake ni wazi ni njama za Spika wa Bunge Dr Tulia kushirikiana na serikali kuwafunga mdomo wabunge wazalendo na watetezi wetu Bungeni.
Spika kajitoa katika uwakilishi wa wananchi kama kiongozi wa Bunge sasa ni mtetezi wa Serikali katika kukandamiza wananchi. Fimbo yake ni kamati ya maadili ya Bunge, sasa na sie kama waajiri wake Spika Tulia tumpeleke katika kamati ya maadili ya wananchi ajadiliwe kwa mapana na ikiwezekana tumkatae kwa sauti kubwa na adhabu ianzie huko Mbeya.
Kwa nini kila mbunge anayejitokeza kusema ukweli anaandamwa? Sasa kazi ya mbunge inatakiwa kuwa chawa wakati hawakuomba kura kuwa chawa bungeni?
Huyo Bi Fito hajawahi hata siku moja kukoga roho yangu tokea siku ya kwanza alipo teuliwa na Magufuli.
Huyu ni aina ya watu wanaotakiwa kuzikwa na wasisikike kamwe tena katika Tanzania bila ya CCM.
Huyu ni sampuli aina ya viongozi taka kabisa waliowahi kuwepo katika nafasi za juu ndani ya nchi hii.