kitalolo
JF-Expert Member
- Dec 4, 2006
- 1,827
- 708
jamaa alimpenda demu akamtumia rafiki yake ili kuweka mambo sawa kweli yule rafiki akamsaidia kumtongozea rafiki yake jamaa wakaanza uhusiano. katikati ya uhusiano jamaa akarudi kwa yule rafiki wa mwanzo ambaye ndiye aliyemuunganisha na huyu demu na akamtongoza na sasa wako kwenye mapenzi mazito hata yule aliyemtongozea mwanzoni kamsahau. je hii imekaaje?
najiuliza wakati huyu demu anamkuwadiwa mwenzake kumbe na yeye alikuwa anatama awe yeye? na je ni yeye aliyefanya juhudi za kumshawishi huyu jamaa arudi kwake au ni akili tu za huyu jamaa ? je wewe kama mwanamke ikiwa rafiki yako ndiye aliyekuunganisha na mpenzi wako na baadae ukaja kukuta wako kwenye mapenzi mazito nini kitakachoenda kwenye akili yako na utafanyaje haswa ikizingatia kuwa ulikwisha mwingiza jamaa kwenye moyo wako?