Kuwadi anapogeuka kuwa mpenzi

Kuwadi anapogeuka kuwa mpenzi

kitalolo

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2006
Posts
1,827
Reaction score
708
jamaa alimpenda demu akamtumia rafiki yake ili kuweka mambo sawa kweli yule rafiki akamsaidia kumtongozea rafiki yake jamaa wakaanza uhusiano. katikati ya uhusiano jamaa akarudi kwa yule rafiki wa mwanzo ambaye ndiye aliyemuunganisha na huyu demu na akamtongoza na sasa wako kwenye mapenzi mazito hata yule aliyemtongozea mwanzoni kamsahau. je hii imekaaje?
najiuliza wakati huyu demu anamkuwadiwa mwenzake kumbe na yeye alikuwa anatama awe yeye? na je ni yeye aliyefanya juhudi za kumshawishi huyu jamaa arudi kwake au ni akili tu za huyu jamaa ? je wewe kama mwanamke ikiwa rafiki yako ndiye aliyekuunganisha na mpenzi wako na baadae ukaja kukuta wako kwenye mapenzi mazito nini kitakachoenda kwenye akili yako na utafanyaje haswa ikizingatia kuwa ulikwisha mwingiza jamaa kwenye moyo wako?
 
Aahahahahaaaa...I have a first hand experience of something very similar to that.
 
Siku zote wewe ukiona mwanamke anakuzungusha mtume rafiki yake ukunganishie ukisha piga vitu vizuri, wanambizana hivi yule jamaa mwanaume wa shoka amesugua machine mpaa imewaka moto...Yule aliye unganisha na yeye atataka tu kujaribu moto ndo walivyo.
 
Hivi siku hizi bado kuna kutongozewa??? Just for curiosity!
 
Siku zote wewe ukiona mwanamke anakuzungusha mtume rafiki yake ukunganishie ukisha piga vitu vizuri, wanambizana hivi yule jamaa mwanaume wa shoka amesugua machine mpaa imewaka moto...Yule aliye unganisha na yeye atataka tu kujaribu moto ndo walivyo.

nice trick...; will try it some day baada ya kupiga zoezi kali la kusugua...
 
jamaa alimpenda demu akamtumia rafiki yake ili kuweka mambo sawa kweli yule rafiki akamsaidia kumtongozea rafiki yake jamaa wakaanza uhusiano. katikati ya uhusiano jamaa akarudi kwa yule rafiki wa mwanzo ambaye ndiye aliyemuunganisha na huyu demu na akamtongoza nasasa wako kwenye mapenzi mazito hata yule aliyemtongozewa mwanzani kamsahau. je hii imekaaje
najiuliza wakati huyu demu anamkuwadiwa mwenzake kumbe na yeye alikuwa natama awe yeye? na je niyeye haliyefanya juhudi za kumshawishi huyu jamaa arudi kwake au ni akili tu za huyu jamaa ? je wewe kama k

mwanamke ikiwa rafiki yako ndiye aliyekuunganisha na mpenzi wako na baadae ukajakukuta wako kwenye

mapenzi mazito nini kitakachoenda kwenye akili yako na utafanyaje haswa ikizingatia kuwa ulikwisha mwingiza
jamaa kwenye moyo wako?
Kwani wamekwisha au mzuri peke yake? Kama kamchukua size yake tafuta mwengine ...
 
Back
Top Bottom