Kuwadi anapogeuka kuwa mpenzi

kitalolo

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2006
Posts
1,827
Reaction score
708
jamaa alimpenda demu akamtumia rafiki yake ili kuweka mambo sawa kweli yule rafiki akamsaidia kumtongozea rafiki yake jamaa wakaanza uhusiano. katikati ya uhusiano jamaa akarudi kwa yule rafiki wa mwanzo ambaye ndiye aliyemuunganisha na huyu demu na akamtongoza na sasa wako kwenye mapenzi mazito hata yule aliyemtongozea mwanzoni kamsahau. je hii imekaaje?
najiuliza wakati huyu demu anamkuwadiwa mwenzake kumbe na yeye alikuwa anatama awe yeye? na je ni yeye aliyefanya juhudi za kumshawishi huyu jamaa arudi kwake au ni akili tu za huyu jamaa ? je wewe kama mwanamke ikiwa rafiki yako ndiye aliyekuunganisha na mpenzi wako na baadae ukaja kukuta wako kwenye mapenzi mazito nini kitakachoenda kwenye akili yako na utafanyaje haswa ikizingatia kuwa ulikwisha mwingiza jamaa kwenye moyo wako?
 
Aahahahahaaaa...I have a first hand experience of something very similar to that.
 
Siku zote wewe ukiona mwanamke anakuzungusha mtume rafiki yake ukunganishie ukisha piga vitu vizuri, wanambizana hivi yule jamaa mwanaume wa shoka amesugua machine mpaa imewaka moto...Yule aliye unganisha na yeye atataka tu kujaribu moto ndo walivyo.
 
Hivi siku hizi bado kuna kutongozewa??? Just for curiosity!
 
Siku zote wewe ukiona mwanamke anakuzungusha mtume rafiki yake ukunganishie ukisha piga vitu vizuri, wanambizana hivi yule jamaa mwanaume wa shoka amesugua machine mpaa imewaka moto...Yule aliye unganisha na yeye atataka tu kujaribu moto ndo walivyo.

nice trick...; will try it some day baada ya kupiga zoezi kali la kusugua...
 
Kwani wamekwisha au mzuri peke yake? Kama kamchukua size yake tafuta mwengine ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…