Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Acha wafu wazike wafu wao.
Watu walikuwa hawatekwi wala kuuliwa kama panya kama sasaMwalimu Julius Kambarage Nyerere alijulikana na kuheshimika kwa tabia yake ya kuji utu.
Mwalimu aliheshimu utu wa binadamu wengine kwa kiwango cha Hali ya juu Sana. Hapa anatoa hoja muhimu Sana.
Kambarage akizungumzia utu.
Usishangae kuona hata kura za uchaguzi mkuu zipo njiani
Ni vilaza tu ndo hawawezi kuelewa hii NRNE ya Chadema.