ha ha ha ha ha ha ha!
nguli hii thread utairusha lini?
Mkuu, naomba nikupe changamoto mazee
hivi ukingangania huko nyuma tutafika?
kumbuka DNA is beyond paternity and it has more important values especially on treatment, prevention and forensic
i would rather live in the worl of true people hata kama ni kwa DNA kuliko kutetea uongo simply because wa kale walisema
we contradict ourselves alot, yaani mtu anabelieve in thruths but he/she doesnt want the truth
hakuna kitu kibaya kama living a lie, and DNA to some extent reduce that problem
HIvi DNA ni haramu?
Ndugu yangu MTM, hakuna anayebisha kuwa vipimo vya DNA ni vizuri sana na muhimu katika maisha ya siku hizi. Kwa maana hiyo hatupingani na maendeleo ya sayansi na teknolojia. Bali tunapingana na sababu unazojaribu kutueleza kuwa zinaweza kukufanya ukapime DNA kwa ajili kujua kama watoto unaolea ni wako. Nilishakueleza sababu zinazoweza kusababisha wanandoa wakapime DNA ya watoto eg kwa Mkemia Mkuu wa Serikali kama uko Tz. Je wewe una mojawapo kati ya hizo? Kung'ang'ania kupima bila sababu inayomshawishi mwenzio ni kufanya jaribio la kuvunja ndoa. Kama uko tayari kwa hilo endelea tu, utakuja tujuvya baadaye. Hata hivyo tumejitahidi kutimiza wajibu wetu wa kukushauri na kuelimishana! Kila la heri ndugu!
Hongera kwa babyboy. Hope baba watoto hajaanzisha habari ya DNA🙄Kumwambia mwanamke tumpime mtoto DNA ni sawa na kumuuliza kama mimba aliyo nayo ni yakwako kweli.
Mi nashauri kma hutaki kununiwa sisitiza kupima 2 iwapo...
1. Unajua kwa uhakika kua mambo yako sio(huna uwezo)
2. Kama ulikua mbali na mamsapu wako ndani ya miezi mitatu mimba ilipotungwa.(Kwa kutumia ultrasound unaweza kujua lini mimba ilitungwa...)
3. Kama during that time hukua na mahusiano mazuri na mamsapu wako cz kuna uwezekano alipata comfort somewhere else.
Hongera kwa babyboy. Hope baba watoto hajaanzisha habari ya DNA🙄
Hawa watu wanaitwa wanakwaya we waache tu! Mi wafu ni heri awe baamedi kuliko mwanakwaya! Wanatafunana hawa watu kama hawana akili timamu. Nilikuwa nabisha kipindi cha nyuma. Nikaamua kujiunga na kwaya kwa ajili ya kuiboresha sauti ya nne kwenye kwaya! LOL! Mi mwenyewe nakumbuka nilimegana na wanne kabla sijajua kati ya hao wa4 watatu walikuwa wanamegwa na kwaya masta na huyo mmoja nilikuwa nashea na mpiga kinanda! Hahaha! Nikaamua kuacha kwaya wansi and fo ol. Na waifu ambaye naye nilimpatia kwenye hiyo kwaya naye nikampiga ban (sore, waifu hakumegwa na mtu pale: Sitaki comments)
[/COLOR][/I][/B]
Mi namjua wyf wako, si alikuwa anaimba sauti ya pili? ila ni kweli wyfe wako hakumegwa na yeyote kwenye kwaya, ila alikuwa anamegwa na mfadhili wa ile kwaya, ushawahi jiuliza kwanini mshikaji aliamua kujitolea kuifadhili kwaya na ni lini? muulize mkeo vizuri
Dna ni nzuri....but..
Hebu fikiria kuwa una watoto wanne
unapima dna unakuta wote si wako..
Je utajisikiaje?
Huoni kuwa ni uthibitisho pia kuwa
wewe una kasoro?
Watu watakuelewa vipi
ukitangaza matokeo?
Wakuu, juzi katika vikao vyetu vya pombe tulikumbana na hoja moja iliyokuwa moto sana hasa kwa akina mamsapu!!!
Cha kushngaza, wanawake woote waliokuwa pale (including tibaigana wangu) walipinga DNA tena kwa hasira kabisa na hasa wakisisitizia kwamba kupima DNA ni kumfanya mkeo kuwa si muaminifu
sasa wadau, naombeni mawazo yenu kwani bado naamimi DNA ni ,uhimu!! akina dada mnasemaje?
Ukipima DNA maana yake humuamini mkeo.
Kama humuamini hata mkeo, what's the point of marriage?
Lakini ukweli unabaki kwamba huwezi kumuamini mtu yeyote.
The logical conclusion is that mariage is overrated.
Ndiyo maana nasema "hakuna kuoa".Kama waliooana hawaaminiani, nioe ili iweje?
Wakuu, juzi katika vikao vyetu vya pombe tulikumbana na hoja moja iliyokuwa moto sana hasa kwa akina mamsapu!!!
Hoja yenyewe inahusu kupima DNA watoto wetu wanapozaliwa; mimi nilitetea kwa hoja kwamba inasaidia watu kuwa makini wanapomega au kumegwa nje, na pia inaleta faida kwa mtoto kwa kumjua baba halisi
Pia nilitetea hoja kwamba hakuja ubaya kutumia utaalam wa kisayansi uliopo kwenye maisha ya kila siku
Cha kushngaza, wanawake woote waliokuwa pale (including tibaigana wangu) walipinga DNA tena kwa hasira kabisa na hasa wakisisitizia kwamba kupima DNA ni kumfanya mkeo kuwa si muaminifu
sasa wadau, naombeni mawazo yenu kwani bado naamimi DNA ni ,uhimu!! akina dada mnasemaje?
Kupima DNA ni personal choice lkn mbona double standards? How many men wanawakataa watoto ambao ni wao for real? Na women raise those kids on their own? Then what happens ,those men end up raising children who are not theirs...... (the irony about life)[To Err is Human and to Forgive is Divine]
Kupima DNA ni personal choice lkn mbona double standards? How many men wanawakataa watoto ambao ni wao for real? Na women raise those kids on their own? Then what happens ,those men end up raising children who are not theirs...... (the irony about life)