Kuwahi/Kuchelewa kuoa

Kuwahi/Kuchelewa kuoa

Eti nimechelewa kuoa.kwani kuoa kunaendana na booking kwamba usafiri utaniacha,Nasubiria mwakani.
Nitaoa.
 
Mimi nimeoa na miaka 39 but now i wish could have stayed single a little longer.....hata kubadirisha tv channel lazima mbishane.
Maisha ya ubachela Ni mazuri Sana. Mimi mwenyewe baada ya kuoa, najiona nimepotea Sana.
 
Ni uamuzi tu,nimeowa na miaka 27 baada ya kuona race zimezidi na kipato hakitulii nikaweka mtu ndani nikafanya maisha na mafanikio zaidi nimeyapata baada ya uamuzi huu.

Muhimu mtu uowe ukijua unachokifuata,siyo kichupa kimejaa huko unataka pakukimwaga ukatangaze ndoa I swear maji utayaita mma na ndo kinachozikuta ndoa za siku hizi,kijana anaowa huku mchana wa harusi alikuwa anazini na Ex wake huku bint kaenda kuchukua mchango wa send-off kwa Ex wake nae huko kauchezea,hawataki kuachana na makoloni yao wana viapo vya ndoa but bado wanatembeza utupu nje na kama wengi mlivyosema hapa maliza ujana wako ndo uowe ndoa za mihemko zina-cost sana ikiwa ni pamoja na kuleteana magonjwa ya hatari ndani ya nyumba hapo bado sijazungumzia mwanamke kuleta mimba zisizojulikana.
 
Back
Top Bottom