Kuwait dinars yaongoza (Rates exchanges)

1. Kuna scholarship za kumwaga. Omba ubalozi wa Japan. Ukifaulu, unaweza kuishi Japan baada ya masomo yako. Wanahitaji watu, raia hawazai.

2. Funga ndoa na Mjapani. Viza ya ndoa inakuruhusu kufanya kazi yoyote. Baada ya miaka 5, unapata "green card" ya Kijapani. Ukifaulu mtihani wa Uraia ( kwa kijapani) unapata pasipoti yao ukipenda.

3. Kazi za BOX zipo nyingi. Inahitaji elimu ya Kijapani. Wananchi wengi hawajui Kiingereza.

Wageni wachache sana, ila lugha ndiyo matatizo. Kuandika Kijapani ni balaa tupu lakini kuongea siyo tabu sana. Unaweza kujifunza mwenyewe katika mtandao.

4. Kodi hukatwi ndani ya kiasi hicho kama una watoto tu au umekopa kununua nyumba.

Kila la heri.

Duuuu nimefulahi sana kuja jamvini mtu kama wewe umetukaza akili ujue wabongo wengi hapa wangedanganywa na wanaojifanya wanajua, vp mkuu unamwaga point tokea wapi uko tokyo au bongo chafu
 
Mkuu ni kweli kabisa jamaa anajua na anabusara... kuna majamaa humu uongo mwingi kwa mambo wasioyajua halafu fact hawana basi shida tu...

huyu jamaa abarikiwe sana kuna vitu nimejifunza kwake maana anatoa maelezo kwa fact ambazo ni simple calculation kuzielewa... tunahitaji sana wabongo wenye uelewa kama huyu jamaa
 
1. Kuna scholarship za kumwaga. Omba ubalozi wa Japan. Ukifaulu, unaweza kuishi Japan baada ya masomo yako. Wanahitaji watu, raia hawazai.

2. Funga ndoa na Mjapani. Viza ya ndoa inakuruhusu kufanya kazi yoyote. Baada ya miaka 5, unapata "green card" ya Kijapani. Ukifaulu mtihani wa Uraia ( kwa kijapani) unapata pasipoti yao ukipenda.

3. Kazi za BOX zipo nyingi. Inahitaji elimu ya Kijapani. Wananchi wengi hawajui Kiingereza.

Wageni wachache sana, ila lugha ndiyo matatizo. Kuandika Kijapani ni balaa tupu lakini kuongea siyo tabu sana. Unaweza kujifunza mwenyewe katika mtandao.

4. Kodi hukatwi ndani ya kiasi hicho kama una watoto tu au umekopa kununua nyumba.

Kila la heri.

Shukrani nitakutafuta zaidi kupata maelezo,nimefanya kazi bongo miaka karibia 8 lakini bado si yanga wala si simba.
 
Wakati wewe mwenyewe huna uhakika "pumba" gani nimeandika wala kushindwa kunisoma, ila "unahisi" tu, huoni kwamba wewe ndio unaleta upumba hapa?

Katika mada, lazima utoe sababu za msingi unazozipinga, siyo hisia. Hisia hazina nafasi katika hoja, labda kwenye vijiwe vya kahawa.

Jipange upya ili unielimishe.

kwahiyo kama nimekusoma vizuri inamaanisha kuwait wanaexport sana kuliko wanavyoimport?! so wanaexport kuliko japan, usa, china, russia etc?
 
"wanaexport sana kuliko wanavyoimport" ina maanisha exports revenues zao ni kubwa kuliko imports payments zao, haimaaninishi kuwa wana exports zaidi ya nchi nyingine. Kuna nchi wana exports kuliko Kuwait ila na wana imports sana ndio panapotofautiana...kumbuka tunaongelea revenues (payments) sio units (quantity)...
Kwa mfano kwa mwaka 2013 Current account balance (% of GDP) ya Kuwait ni 39.7%, ya Japan ni 0.7% ya USA ni negative 2.4% ya China ni 2.0%...
Current Account ni sawa na Export kutoa Import +...+... (nikiandika yatakuwa mengi)
 
Hii imekaa poa sana..kwa nyongeza tu export vs imports..kama ni possitive+...mahitaji ya pesa za kigeni yanakuwa madogo.kwa vile foreign currency reserve inakuwa kubwa..so tunategemea local currency inakuwa strong!kama ni negative..imports zinakuwa kubwa kuliko exports..negative balance of payments..then mahitaji ya foreign currency inakuwa kubwa ..local currency inakuwa weak!
 
Duuuu nimefulahi sana kuja jamvini mtu kama wewe umetukaza akili ujue wabongo wengi hapa wangedanganywa na wanaojifanya wanajua, vp mkuu unamwaga point tokea wapi uko tokyo au bongo chafu

Shukran. Kama ukiwa na maswali mengine kuhusu Japan, nitajitahidi kujibu hapa kadri ya uwezo wangu.

Nafanya biashara hasa maeneo ya Asia lakini naenda pia Tanzania na nchi nyingine za Afrika kwa kazi na likizo.
 
Shukrani nitakutafuta zaidi kupata maelezo,nimefanya kazi bongo miaka karibia 8 lakini bado si yanga wala si simba.

Mara nyingi huchukuwa miaka mingi kufika unapotaka katika maisha yako.

Sijui uwezo wako lakini kama una uwezo wa kununua kahawa na chai, unaweza kuuza nje kirahisi.
Wazungu wananunua kahawa yetu poundi moja $2.50- $2.80 ( gram 453 ) na kuuza kwa faida nyingi nje.

Ikifika dukani inauzwa $12.00 kwa paketi ya gramu 200. Unaweza kununua kwa wingi kutoka kwa wakulima na kutafuta soko la jumla nje kupitia Kwenye mtandao.

Pia, unaweza kusafirisha matunda, juice ya matunda, vitu vya kisanaa au kitalii, ngozi za wanyama pori, na viungo vya chakula kama vya pilau.

Kuna viwanda vingi nchi jirani kama Botswana, Kenya na Afrika Kusini unaweza kuwauzia matunda au juice ya matunda watumie katika viwanda vyao. Mara nyingi ni juice yetu wanakuja kutuuzia tena.

Unaweza kutengeneza website yako ya kusaidia watalii wanaokuja Tanzania kwa kuwapa service kama usafiri na kufanya biashara na mahoteli. Kila ukipeleka mgeni, unalipwa.

Unaweza pia na kujiunga na website zinazohusu safari. Unajibu maswala ya watalii na mara nyingi utaweza kupata mteja hapo.

Unaweza kununua mvinyo kwa wingi Spain, Afrika Kusini na Italy na kuuza reja reja nyumbani. Ulaya wana mvinyo mwingi mpaka wanamwaga bahari ni. Unaweza kununua lita moja karibu na bure. Unanunua baada ya msimu, wanakuwa na mvinyo mwingi hauna mnunuzi. Wanakuuzia bei yako.

Focus tu, utafanikiwa.
 
Namna ya kuuza/ kununua bidhaa

1. Importer.tradekey.com
Hapa unaweza kupata wateja wanaotaka juice ya matunda mbalimbali pamoja na vitu vingine.

2. Alibaba.com
Hapa unaweza kupata contact moja kwa moja na wenye viwanda wa kila kitu China. Ni sehemu nzuri ya kununua bidhaa kwa wingi na bei nzuri. Hamna mtu wa kati, bidhaa inakuja moja kwa moja kutoka kiwandani.

3. Tripadvisor.com
Lonelyplanet.com
Fodors.com
Forum.vitualtourist.com

Hii ni sehemu nzuri ya kujitangazia biashara yako ya hoteli, kujibu maswala ya watalii na kupata mteja.

4. Ofisi za Ubalozi wa nchi za nje.

Mara nyingi kuna afisa anayehusika na biashara atayekusaidia kukupa contact za wafanyabiashara wa kwao au kukusaidia kujua sheria zao za biashara na fomu za kujaza kuridhisha sheria zao wakati wa kusafirisha.

5. T.justdial.com

Wanauza perfume kutoka India kwa bei ya jumla kutoka kiwandani. Kuna contact za wauzaji tofauti.

6. Bestvaluewineguide.com

Hapa unaweza kununua chupa moja ya mvinyo wa Afrika Kusini kwa $2.00.
 
This is more than what I needed thank you so much mkuu Tokyo40, kuajiriwa hakulipi kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Shukran. Kama ukiwa na maswali mengine kuhusu Japan, nitajitahidi kujibu hapa kadri ya uwezo wangu.

Nafanya biashara hasa maeneo ya Asia lakini naenda pia Tanzania na nchi nyingine za Afrika kwa kazi na likizo.

Kwa kweli hata mie nimefaidi kwa elimu iliyotoa. Hongera sana.
 
Mkuu Tokyo hivi wewe ndo mwanamziki wa tz huko? {fresh Jumbe}. Nazingua tuu mkuu ila una sehemu muhimu sana ya shukrani zangu ndano ya moyo wangu kwa mchango wako jengefu humu.

Naomba unisaidie ia taarifa ya soko la sungura na kuku waliofugwa in organic ways huko please kama unazo. Ufugaji ndo njia niliyoichagua mdoo wako
 
Mkuu, Shukrani.

Mimi siyo mwanamuziki. Kazi zangu ni za kununua na kuuza vitu kutoka sehemu mbalimbali za Asia na Afrika.

Kuhusu biashara ya sungura na kuku. Kama nyama, Wajapani hawali sungura sana, ila watoto wanapenda kufuga nyumbani. Nenda Ubalozi wa Japan, ili wakuambie jinsi gani unaweza kuuza sungura katika soko la "pet shops" na kujua sheria za usafirishaji wa wanyama. Hata kama unafuga mbwa, kobe, samaki wadogo na paka wa aina fulani, wananunua. Ni biashara kubwa sana. Baada ya hapo inakuwa rahisi kutafuta soko.

China wanakula sungura sana na hata mimi nilikula mishikaki ya sungura Shanghai. Nenda Ubalozi wao ujue sheria zao za kusafirisha nyama na jinsi ya kuuza katika soko lao. Ukitoka hapo, inakuwa rahisi kutafuta soko.

Kama unafuga mbuzi, Saudi Arabia wananunua sana hasa wakati wa Idi na kutoa sadaka. Wasomali wengi Mogadishu ndiyo biashara yao kubwa.

Kuku ni kidogo tabu kusafirisha kwa kuwa kuna makampuni makubwa sana ya Japan na Brazil katika hii biashara. Sijui, una uwezo wa kuuza tani ngapi lakini sijawahi kuona kuku wa nje zaidi ya wa Brazil katika supermarket zao. Ila kama samaki, nimeona wa nchi nyingi. Lakini siyo vibaya kuuliza ubalozini kwao.

Ukiwa na maswala zaidi, usichoke kuuliza.

Kila la heri.
 
Namna ya kuuza/ kununua bidhaa

1. Importer.tradekey.com
Hapa unaweza kupata wateja wanaotaka juice ya matunda mbalimbali pamoja na vitu vingine.

2. Alibaba.com
Hapa unaweza kupata contact moja kwa moja na wenye viwanda wa kila kitu China. Ni sehemu nzuri ya kununua bidhaa kwa wingi na bei nzuri. Hamna mtu wa kati, bidhaa inakuja moja kwa moja kutoka kiwandani.

3. Tripadvisor.com
Lonelyplanet.com
Fodors.com
Forum.vitualtourist.com

Hii ni sehemu nzuri ya kujitangazia biashara yako ya hoteli, kujibu maswala ya watalii na kupata mteja.

4. Ofisi za Ubalozi wa nchi za nje.

Mara nyingi kuna afisa anayehusika na biashara atayekusaidia kukupa contact za wafanyabiashara wa kwao au kukusaidia kujua sheria zao za biashara na fomu za kujaza kuridhisha sheria zao wakati wa kusafirisha.

5. T.justdial.com

Wanauza perfume kutoka India kwa bei ya jumla kutoka kiwandani. Kuna contact za wauzaji tofauti.

6. Bestvaluewineguide.com

Hapa unaweza kununua chupa moja ya mvinyo wa Afrika Kusini kwa $2.00.

Tokyo40 nataka kuku-like alaf kutufe cha ku-like sikioni ila ntajitahidi. Napenda sana taarifa kama hiz, big up.
Mungu akubariki zaidi na zaidi.
 
Ameen. Mungu akubariki na wewe.

Kama unatumia simu, karibu na jina la ID ya mtu, bonyeza kokote pembeni yake, kitufe kitajitokeza. Kama unatumia kompyuta, kipo tayari karibu na ID ya mtu pia.
 
Mods,kwa manufaa ya watanzania,uzi uwe sticky,ili watu wanufaike na utandawaz,tokyo40 uko vzuri,ni wachache wenye moyo wa kutoa bure kama wewe..asante kwa enlightnment
 
Siyo rahisi kabisa.

Jitahidi kuelewa maswala ya uchumi.

Kwanza, hatuna mafuta ya kuchimba.

Tanzania kuna gesi (LNG) nyingi na hata hivyo, serikali imetangaza mapato ya baadae ya kama $3 Bilioni kwa mwaka watapomaliza ujenzi baina ya 2017 na 2022.

Pia, bei huenda ikipanda au kushuka katika miaka 25- 30 ya Uzalishaji mpaka kisima kukauka.

Kupanda kwa thamani ya fedha ya nchi inahitaji uwe mzalishaji wa vitu mbalimbali vinavyotumiwa duniani, siyo tu gesi.

Kufika katika Maendeleo ya nchi kama Malaysia au Afrika Kusini, tunahitaji uzalishaji wa $300 bilioni. Sasa tunazalisha kama $40 bilioni. Tutafika tukijipanga vizuri, lakini safari ni ndefu.

Kumbuka, Japan hana gesi wala mafuta. Ni uzalishaji tu wa vitu kila kona ya dunia wanavitumia.

tshs inapelekwa kwa market forces ili kusupport kilimo,kama nchi hatuna sababu ya kung'ang'ana pesa yetu iwe na thaman maana tunahtaj exports zaidi,na tukufukumbe shida ya fedha kutokuwa na thaman kubwa huwa wanaiona wananch wakat wa manunuz ya bidhaa zlizotoka nje,hii yote ni kupunguza wimbi la uagizaji ili tubak na reserve kubwa
 
Back
Top Bottom