Kuwaita Wazungu Mabeberu si kujitukana?

Kuwaita Wazungu Mabeberu si kujitukana?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,189
Reaction score
10,375
Beberu ni mbuzi dume.

Kinyume cha beberu ni mbuzi jike.

Ukitamka tu mbuzi inafahamika unamzungumzia mbuzi jike.

Viongozi wa Tanzania, hasa wa nrengo wa kijamaa, wamekuwa na kawaida ya kuziita nchi za Magharibi MABEBERU!

Kea kuwaita Wazungu Mabeberu, wao watakuwa wamejiweka kundi gani?

Nao Wazungu wakianza kuwaita mambuzi au makondoo watajisikiaje?

Kuwaita Wazungu Mabeberu si kujidhalilisha?
 
Back
Top Bottom