mageuzi1992
JF-Expert Member
- Apr 9, 2010
- 2,502
- 256
Kadiri ya miaka mitatu au minne hivi tanzanzia imeshuhudia matokeo mabaya sana ya wanafunzi wanaomaliza elimu ya sekondari na hasa hasa kidato cha nne...hii inathibitishwa na madudu ya mwaka huu wa 2013 ambayo hayakuwahi kutokea. Nathubutu kusema inawezekana hakuna popote duniani ambapo madudu kama haya yalishawahi kufanyiki...'''wenye data wanikosoe kama si ukweli''' ajabu ya kustajabia ya musa na firauni ni kwamba pamoja na madudu yote mawaziri na watendaji husika bado wanadunda tu! Wala hawana soni mioyoni mwao! Inasikitisha.......