Kuwajua wengine ni vizuri, lakini kujijua mwenyewe ni vizuri zaidi

Kuwajua wengine ni vizuri, lakini kujijua mwenyewe ni vizuri zaidi

realMamy

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2024
Posts
3,925
Reaction score
8,853
Watu hujifanya wanawajua watu vizuri sana in and out lakini sio kila unachokijua kina ukweli wowote ambao umethibika au amethibitisha mtu mwenyewe.

Watu huwajua wengine kupitia maneno ya watu.

Sasa Je wewe unajijua vizuri? Ama unajua unavyozungumziwa? Yanayozungumzwa juu yako ni ya kweli?

Anza kujijua mwenyewe kwanza ndipo uwajue wengine.
 
Back
Top Bottom