Kuwakosoa celebrities, nasi tujiweke kwenye mizani

Wengine ni wa kuhurumia tu.Kuna watu sura zimekunjamana ka tangawizi, shepu nalo kiazi mbatata kina unafuu......ila sasa kwa kupondea wenzao na kuwaita wabaya hawajambo!!! Kwani stara inauzwa sh. ngapi jamani??? Duh

Binamu acha unafiki, si tunakuwaga wote wewe kwenye umbea? Kuna watu wa kuongea ila sio wewe bwana
 

Yani kwenye huu uzi, sijaona aliyetoa comment makini na iliyoenda shule kama wewe binamu? Ulisomea wapi binamu? Umetishaa

Mtoa mada hajasema kuwa hizo scandal uwa wanasingiziwa au vipi? Na hajasema baadhi ya ma celebrities ambao anaona kuwa wanaonewa au kuzushiwa
 

Wanasahau kuwa wasanii ni kioo cha jamii, kwani hao wanaosemwa kila siku ndo ma celebrities peke yao? Kwa nini wengine hawasemwi? Kwani wao ni malaika hawafanyi upuuzi?
 

Let me remind them, this is jamii forum, kuna majukwaa mengi tu humu including this forum, so chochote kinachoandikwa humu kipo mahali pake, na kumbuka kuna mods wanao control kila kitu humu, wao sio machizi, kila kinachoandikwa humu wanapima kulingana na vigezo vyao na ndio maana baadhi ya thread zinafutwa kabisa. Sasa naona kuna watu wanataka kuingilia kazi za watu, kama wamechoka kusikia habari za mastaa wahame, majukwaa yapo mengi tu, labda kama wawe ni secret admires, wanaponda umbea kumbe wenyewe ndo wa kwanza wanapenda
 
Msanii ni kioo cha jamii, endapo atafanya kitu chochote kinyume basi jamii haitasita kukemea, unataka kusema habari zote zinazoripotiwa kuhusu mastaa ni uwongo? Wao wanatakiwa kujirekebisha kwanza na sio kuwatetea ujinga wao.
warumi

Em soma tena huo uzi mkuu, naona kama umekurupuka flani. . .Sijasema wasikemewe kwenye mabaya yao. . . Hebu rudia kusoma vizuri na mifano niliyotoa
 
Last edited by a moderator:
Wanajifanya wanaponda wakati wakisikia umbea wa celebrities mbio wanajazana kwenye uzi, na wao wangeacha kufuatilia habar za mastaa apo ata sisi tutakosa vya kuandika

Mkuu naona kama uzi umekugusa! Narudia tena, uzi unahusu pale mtu anapomkosoa celeb hali ya kuwa huyo katika hilo analokosoa huyo celeb ana unafuu kuliko huyo mkosoaji. . .Au kumzushia uongo celeb kwa makusudi. . .
 

Duh! Mkuu sijui kama umesoma uzi vizuri. . Maana hizo nukta mbili ulizozitaja kuwa hukubaliani nazo, mimi wala sijazitaja katika mada
1. Hakuna niliposema famous wote wanasemwa vibaya
2. Celeb gani aliyekufuata kwako kukwambia kapata mpnz mpya, au aliyewaita waandishi wa habari kuwatangazia. . . Nijuacho ni kuwa sisi ndo tunaofollow page zao, na waandishi huwafuata wao kuwahoji, . . .Sasa kuna ubaya gani akiweka wazi relationship yake?

Kuhusu hao wanaokopa kopa na kujifanya wana maisha mazuri, unaweza kutupa mfano na ushahidi?

NB: ukisoma vizuri post yangu nilishasema, sio vibaya kuwakosoa pale wanapokosea
 

Aisee wewe umekuja kwa kasi na stress zako! Hivi unajua kinachoongelewa hapa?

Wapi kazi ya mods ilipoingiliwa?

Wapi tumesema watu wasipost mada za celebrities?

Wapi tumesema celebrities wasikosolewe?

Mbona unakurupuka tu mkuu? Kiwango chako cha uelewa kitakuwa kidogo sana@warumi
 
Em soma tena huo uzi mkuu, naona kama umekurupuka flani. . .Sijasema wasikemewe kwenye mabaya yao. . . Hebu rudia kusoma vizuri na mifano niliyotoa

Nimekuelewa vzuri..eti unalalamika wasanii wanaandamwa, wanayofanya ni mazuri? Kwa hyo wasikemewe? Kisa mastaa? Sorry kama umeumia ila tutaendelea kukemea inakobdi
 
Mkuu naona kama uzi umekugusa! Narudia tena, uzi unahusu pale mtu anapomkosoa celeb hali ya kuwa huyo katika hilo analokosoa huyo celeb ana unafuu kuliko huyo mkosoaji. . .Au kumzushia uongo celeb kwa makusudi. . .

Uzi umenigusa sana, kwa sababu nahusika ...kama tunakukera uwe unakimbia kimya kimya
 

Binamu unajua ukiwa mmbeya lazima uwe na ma akili mengi sana; ujue gossip haijaanza leo wala jana.Celebritries ni watu ambao lazima wazungumzwe kwa mabaya na mazuri.Tena wakati mwingine wasipozungumziwa wanajitoa akili kufanya scandal ilo watajwe.Sasa tuanze kujizungumzia sisi who will be interested?
Yani kwa vile mie nna kipato kidogo nisimseme Lina ambaye aligombana na Naga afu akakimbia kama mkimbizi kisa sina makazi mazuri? Kwani kati yetu na wao nani anajiashua na maisha?
#Hapa ni umbea mwanzo mwisho
 

Ebu nisaidie binamu, huyo atakua katumwa sio bure, au aje aseme huyo celebrity anayetukanwa bila kufanya kosa.kwanza hao macelebrity wenyewe wanafurahi tunavyowarusha juu , sasa yeye cjui kinamuuma nn
 

Jiangalie vzur kwanza, warumi stress anapata wap kwanza? Sasa kama hao mastaa wanaandamwa so wht? Labda unaongea kama nani? Tutole huu uchafu wako, kama tunakuboa nenda jukwaa la wachawi wenzio uko
 
Last edited by a moderator:
Binamu acha unafiki, si tunakuwaga wote wewe kwenye umbea? Kuna watu wa kuongea ila sio wewe bwana

Binamu kwenye umbea nimo sawa ila si kwa matusi. Yaani unakuta mtu anazodoa mpaka anapitiliza thats why wengine hata le mutuz aliamua kuwaaibisha!

Binamu ndo maana nikasema kuchamba na kuchambwa kupo jamani ila kuna baadhi wanaenda mbali jamani......ebu fikiria Jaydee anavyotukanwa na kurushiwa maneno ya hukumu kisa hana mtoto....kweli jamani???!!!

Sasa kama hayo ya kina malkia wa insta mmmmh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…