Kuwakumbushia tu, Ukraine ni namba 22 kwa uwezo wa kijeshi, hata Misri wanaifumua

Tuchukulie mfano Somalia anapigana na Kenya lakini majeshi ya East afrika yote yanamsaidia Kenya na silaha juu. Jee hapa Somali anapigana na Kenya au East Afrika???
Huko Ukraine hali haipo hivyo ulivyotaja...ni kweli Ukraine anapewa silaha na fedha ila anayepigana na Urusi ni jeshi lake tu.
 
Nini maana ya neno massive, labda tuanzie hapo??
 
Si huyo US aende front kama alivyofanya Iraq,Libya,Vietnam,Afghan na kwingineko?

Ndio maana nimekuambia hapo Syria hamna interest yoyote zaidi ya kusababisha waarabu wa dini yenu wauane tu....Binafsi hata sijawahi kufuatilia nani anapigana na nani...
Mtandao wa mavita vita pale huwa kamchezo fulani hivi na sio vita maalum..

Nimepata picha nyingine tena inayoonyesha jinsi waarabu ambao mnawategemea sana kwenye dini yaa walivyo wajinga wa kuuana pale Syria...

😆😆😆😆😆,Hana interest wakati Anaiba pipa 60,000 za wese kila siku!
 
😆😆😆😆😆,Hana interest wakati Anaiba pipa 60,000 za wese kila siku!

Dah sikujua, kumbe maarabu ni majinga kiasi hicho, yanaibiwa wese pipa 60,000 za wese kila siku, hivi mliingiaje mkenge wa dini ya hawa watu, maana ni dhahiri hayana akili kabisa.
 
Dah sikujua, kumbe maarabu ni majinga kiasi hicho, yanaibiwa wese pipa 60,000 za wese kila siku, hivi mliingiaje mkenge wa dini ya hawa watu, maana ni dhahiri hayana akili kabisa.
Ndio hujui mambo mengi kuhusu US na alivyo tayari kuanzisha vita na umwagaji mkubwa wa damu duniani Kwa interest zake!
 
Attachments

  • images (4).jpeg
    38.7 KB · Views: 5
Ndio hujui mambo mengi kuhusu US na alivyo tayari kuanzisha vita na umwagaji mkubwa wa damu duniani Kwa interest zake!

Ndio maana nimekuambia hayo maarabu ya dini yenu majinga sana, kazi kupiganishwa yauane kwenye limtandao la ajabu...sijui huwa mnayaabudu ya nini.

Ndio maana nimekuambia hayo maarabu ya dini yenu majinga sana, kazi kupiganishwa yauane kwenye limtandao la ajabu...sijui huwa mnayaabudu ya nini.

Hayo yakwako Ila Mimi nilikuwa nakuonesha jinsi US ilivyojaa damu Kwa kuanzisha machafuko sehemu mbalimbali duniani Kwa manufaa yake!
 
Hayo yakwako Ila Mimi nilikuwa nakuonesha jinsi US ilivyojaa damu Kwa kuanzisha machafuko sehemu mbalimbali duniani Kwa manufaa yake!
View attachment 2404575

hayo maarabu ambayo huwa mnayaabudu yanaibiwa mafuta halafu yanapigwanishwa na kuuana kama kuku, mtandao wa mauaji

hayo maarabu ambayo huwa mnayaabudu yanaibiwa mafuta halafu yanapigwanishwa na kuuana kama kuku, mtandao wa mauaji

Ni sehemu nyingi US anahusika na umwagaji damu,mfano Sasa Yuko anawatoa muhanga wa Ukraine yeye auze silaha na kutengeneza deni Kwa Ukraine likalolipwa Kwa miongo kadhaa!
Sijui na huko Ukraine,ni hayo maarabu unayosema ndio yamechonganishwa??😆
 
Mpaka hii operesheni imalizike kuna watu watakuwa tayari Mirembe.
 
Ni sehemu nyingi US anahusika na umwagaji damu,mfano Sasa Yuko anawatoa muhanga wa Ukraine yeye auze silaha na kutengeneza deni Kwa Ukraine likalolipwa Kwa miongo kadhaa!
Sijui na huko Ukraine,ni hayo maarabu unayosema ndio yamechonganishwa??😆

Hii picha nyingine ya namna hayo maarabu yanapiganishwa yalivyo majinga na kuibiwa mafuta, bado sielewi mliingiaje kwenye mkenge wa dini yao...

Tanzania
 
Hii picha nyingine ya namna hayo maarabu yanapiganishwa yalivyo majinga na kuibiwa mafuta, bado sielewi mliingiaje kwenye mkenge wa dini yao...

Chaka lingine Hilo la kujificha😃😃!
Kwahiyo tumekubaliana,US ndio baba lao kwenye umwagaji damu duniani hasa anapoona maslahi kama mafuta na Sasa biashara ya Silaha zake huko Ukraine!
At least tumekubaliana jambo 😃!
 
Ona hayo maarabu ambayo huwa mnayaabudu yalivyo majinga, yanapiganishwa na kuibiwa mafuta..

Ona hayo maarabu ambayo huwa mnayaabudu yalivyo majinga, yanapiganishwa na kuibiwa mafuta..

Weka na Za Ukraine utuambie before na after,weka na Za Iraq,Afghan,Vietnam,Yugoslav,Libya na kwingineko ambako US ananuka damu!
US ni mashetani wekundu😃!
 
Unataka kujenga hoja gani hapo ? Au unataka kuhalalisha uvamizi wa ndugu yetu nduli dikteta Idi Amin ?????
 
Weka na Za Ukraine utuambie before na after,weka na Za Iraq,Afghan,Vietnam,Yugoslav,Libya na kwingineko ambako US ananuka damu!
US ni mashetani wekundu😃!

Ndio maana nakuambia hao waarabu mnaowaabudu kwenye dini yenu ni wajinga sana, wanapiganishwa kisha wanaishia kulalamika......mbaya zaidi wanaibiwa mafuta
Syria imesambaratishwa mpaka basi, sikujua na wao pia wanaibiwa mafuta hadi uliponifungua macho.
 
Ndio hayo macho ushafunguka Sasa,US anaibaka mafuta Syria!Kama alivyofanya huko Iraq,Libya NK!
Yeye ni maslahi yake kwanza bila kuangalia damu!Sasa kawaingiza mkenge Ukraine,kamgombanisha na jirani yake na Sasa anafanya biashara ya Silaha Kwa malipo ya damu za waukraine!
Baada ya hii SMO,Ukraine atalipa Kwa miongo mingi sana!
Nenda kaulize UK kamaliza kulipa deni lini Kwa US la WW2!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…