Kwani wanochinjwa kule ni haki yao kudedi au vp?Chief,
Mbona sijaona uhusiano kati ya huko Iraq na kwingineko ulikotaja. Je, wana uhusiano gani na Makonda? Kaambiwa yeye anahusika na hilo la kuua. Je, ni kweli au si kweli? Haimaanishi kwa kuwa umeenda sokoni ukamkuta mchinja kuku akichinja kuku za watu wewe uchukue kisu tu na kuanza kuchinja. Kuna taratibu zake.
Huko wao wana utaratibu wanaoufanya ili kuhalalisha wao kuwa huko ka vitani. Makonda anafanya vita na nani hapa?
Hivi kwa nini tunashindwa ku-raise points zetu kumtetea? Mara ohh kaambiwa anawachukia mashoga, mara nini. Tu-raise points kama tunataka kumsaidia sio kubisha tu.
Sio ndio hapo.. ni sawa na mtu anaulizwa kwanini umeua alafu anajibu ni kwasababu fulani kaua.Chief,
Mbona sijaona uhusiano kati ya huko Iraq na kwingineko ulikotaja. Je wana uhusiano gani na Makonda?? Kaambiwa yeye anahusika na hilo la kuua Je ni kweli au si kweli?? Haimaanishi kwa kuwa umeenda sokoni ukamkuta mchinja kuku akichinja kuku za watu wewe uchukue kisu tu na kuanza kuchinja. Kuna taratibu zake. Huko wao wana utaratibu wanaoufanya ili kuhalalisha wao kuwa huko ka vitani. Makonda anafanya vita na nani hapa??
Hivi kwa nini tunashindwa ku raise points zetu kumtetea? Mara ohh kaambiwa anawachukia mashoga, mara nini, Tu raise points kama tunataka kumsaidia sio kubisha tuuu
Mbona hilo silo somo letu hapa?? Uliza UNKwani wanochinjwa kule ni haki yao kudedi au vp
Ni kipi kinakwambia hao wanaoua nchi nyingine nao hawajapigwa ban?Kwani wanochinjwa kule ni haki yao kudedi au vp