Kuwaondoa Wamachinga ni bomu linalosubiri kulipuka

Kuwaondoa Wamachinga ni bomu linalosubiri kulipuka

Hakika nadhani zile Kauli za Viongozi kuwa MACHINGA WASIBUGUZIWE waacheni Wafanye Biashara popote na tukawatengenezea Vitambulisho vya kuwatambua na kuchukua Sh.20,000/= sasa Madhara yake ndio Yameanza kuonekana.

Watanzania TUACHE SIASA kwenye kila Kitu.
Sasa hivi Machinga hapo Walipo ndipo Wanapopata Mkate wao wa kila Siku wao na Wazazi na Familia zao.

Kuwaondoa kwa HIARI na Kuwapeleka Maeneo Mengine itakuwa ngumu sana na kama Nguvu itatumika basi MADHARA yake ni MAKUBWA sana.

Tujifunze Kuwa na Utaratibu wa KUFUATA Sheria na Mipango sio kila kitu tunaweza Siasa ETI NI WAPIGA KURA WETU
Nimekuelewa hapo mwishoni, Sheria zinakataza Biashara kufanyika Barabarani lakini wanasiasa wanapeleka watu makosa,
Kama walipenda wafanye Biashara popote ilibidi likae kisheria zaidi, na si matamko ya kisiasa.
 
Huu mwaka mpaka uishe kutakua na matukio mengi Sana ya uhalifu.

Na sio kwamba wanafanya uhalifu wakastarehe,

Wengine wanafanya uhalifu wakalishe tu familia zao.

HAPA SERIKALI IMECHEMKA
Ukiiba tunakuua
 
Kinachofanyika sasa ndio sheria, kuwaacha waendelee kufanya biashara barabarani ndio uvunjifu wa sheria, tuchague kutii sheria au kuvunja sheria.
 
Back
Top Bottom