Kuwaondoa Wamachinga ni bomu linalosubiri kulipuka

Nimekuelewa hapo mwishoni, Sheria zinakataza Biashara kufanyika Barabarani lakini wanasiasa wanapeleka watu makosa,
Kama walipenda wafanye Biashara popote ilibidi likae kisheria zaidi, na si matamko ya kisiasa.
 
Huu mwaka mpaka uishe kutakua na matukio mengi Sana ya uhalifu.

Na sio kwamba wanafanya uhalifu wakastarehe,

Wengine wanafanya uhalifu wakalishe tu familia zao.

HAPA SERIKALI IMECHEMKA
Ukiiba tunakuua
 
Kinachofanyika sasa ndio sheria, kuwaacha waendelee kufanya biashara barabarani ndio uvunjifu wa sheria, tuchague kutii sheria au kuvunja sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…