NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
- #21
Angalia na mendeleo yake aliyoyafanya songCameroon ni suala muda tu Song anapigwa chini soon
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia na mendeleo yake aliyoyafanya songCameroon ni suala muda tu Song anapigwa chini soon
hivi kati ya the cranes na T.stars kwa sasa nani anaongoza kwa pointiTazama taifa la Morocco, tazama timu ya taifa ya Senegal na utazame timu ya taifa ya Cameroon.
Sasa ifikie hatua tuseme makocha wa kizungu ndani ya timu yetu ya taifa basi, Maana toka tuanze kuleta makocha wakizungu ndani ya Taifa stars hakuna hatua yenye mafanikio tuliyoipiga zaidi yakupiga hatua mbili mbele nakurudi hatua tano nyuma Kisha tunajipigia makofi mengi nakuanza kujipongeza.
Hii nchi kwa Sasa Ina makocha wengi wazawa na Tena Kuna makocha wengine wameichezea taifa stars wanajua Nini maana ya uzalendo ndani ya taifa lao.
Makocha Kama juma mgunda, Amri kiemba, Minziro n.k na wengine ambao tunaona kabisa hawa hata tukiwapa timu kutokana na Mambo makubwa waliyoyafanya ndani ya taifa letu hawawezi kutuangusha.
Hii dunia imebadilika Sasa ni tofauti na zamani tukiamini kuwa white people wanajua wanajua kila kitu, kumbe ni hapana Bali kuwa na imani potofu tu hata makocha wetu wazawa wanaweza kabisa kuongoza timu endapo tutawaamini nakuwapa timu yetu ya taifa stars.
Makocha wazawa wanawajua wachezaji wazuri ndani ya nchi kwa maana wao wapo humu humu ndani ya ligi yetu ni tofauti kabisa na hawa makocha wakigeni wanapokuja nakukabidhiwa timu, wanaanza kupangiwa na kikosi Cha kuwaita wachezaji Sasa hiyo hatuwezi kupiga hatua mbele hata Kama akija gadiola kuifundisha taifa stars.
My take ifikie hatua tuachane na kuhusudu uzungu tuthamini vya kwetu Kama nchi zingine zilizoendelea kimpira kwa kuthamini nakuwaamini makocha wazawa nakuwapa timu zao za taifa.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Point sawa we unadhani taifa stars atatoboa.hivi kati ya the cranes na T.stars kwa sasa nani anaongoza kwa pointi