Kuwarejesha Lukuvi na Profesa Kabudi ni kuwakosea vijana

Namkumbuka katibu Mkuu wa CCM Mh. Horace Kolimba kauli yake kuhusu CCM na mustakabali wake.
 
Prof muoga hafai kuongoza Kata sembuse wizara? Anapaswa kuacha alama hata atakapoondoka kwenye uongozi watu waseme naaaam alikuwepo mtu hapa. Hebu fikiria ni usomi gani kuwa sehemu ya wanaopita bila kupingwa, wanaozuia vyama vingine visifanye siasa wakati katiba inawaruhusu? Kwanini usitumie uprofesa wako kuwaambia wenzako hiyo na hii hapana la sivyo najiuzulu?
Kama hakuna aliyejitokeza kuna tatizo gani?.
P
 
Prof muoga hafai kuongoza Kata sembuse wizara? Anapaswa kuacha alama hata atakapoondoka kwenye uongozi watu waseme naaaam alikuwepo mtu hapa. Hebu fikiria ni usomi gani kuwa sehemu ya wanaopita bila kupingwa, wanaozuia vyama vingine visifanye siasa wakati katiba inawaruhusu? Kwanini usitumie uprofesa wako kuwaambia wenzako hiyo na hii hapana la sivyo najiuzulu?
Mfumo wa nchi yetu ni wakijinga sn huwezi kupata watu wazuri
 
Tuna mifumo ambayo hata professor anakenulia wanasiasa ili ateuliwe huko. Msomi anashindwa kudai malipo halali ya kazi yake anayoifanya, mhadhiri anashindwa kusema kwa mwajiri wake maisha yamepanda shilingi imeshuka niongeze mshahara, badala yake anageuka chawa wa wanasiasa au anafuga nguruwe na ng'ombe nyumbani kwake kujiongezea kipato. Hatimaye ni rahisi kuuuza mitihani au anatafanya tafiti zenye majibu ya kughushi kuwaridhisha wafadhili wa tafiti.
 
Katiba mbovu sn ya kijinga
 
Kama wabobezi wa katiba na shreria wanalinda matumbo yao machinga ataanzia wapi?
 
Back
Top Bottom