Felixonfellix
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 1,672
- 183
Inasemekana wanaume hufurahia tendo zaidi taa inapowashwa.
kwanini?Mwanga hafifu unafaa zaidi giza sio ishu,pia taa za rangi zinafaa zaidi.
upo sawa!!!
unajua ni kwa nini lakini?
Kwa sisi tunaofanya mchana kweupe utafanyaje? Au unazima jua? Wote hapa mme assume kuwa tendo linafanyika usiku tu.
Kuzima au kuwasha taa ni sawa.
Hapo mmegusia case moja tu, kama mapenzi yatafanyika usiku!
Si lazma mapenzi yafanyike usiku, hata mchana yanafanyika.
Wale wanaofanya mchana inakuaje?
Wengine tunafanya mchana wakati watoto wameenda shule kwakuwa tunakaa chumba kimoja na watoto.
***Topic closed***
Kwa sisi tunaofanya mchana kweupe utafanyaje? Au unazima jua? Wote hapa mme assume kuwa tendo linafanyika usiku tu.