kuwasha taa au kuzima taa..... ipi bomba?

kuwasha taa au kuzima taa..... ipi bomba?

Kwa sisi tunaofanya mchana kweupe utafanyaje? Au unazima jua? Wote hapa mme assume kuwa tendo linafanyika usiku tu.
 
Kwa sisi tunaofanya mchana kweupe utafanyaje? Au unazima jua? Wote hapa mme assume kuwa tendo linafanyika usiku tu.
 
Kuwashataaa ndio kwenyewe unaweza kuona mambo mengine kwenye mwili wa mwenzako kama mwili mzuri,na hata maumbile husika
 
Kuzima au kuwasha taa ni sawa.
Hapo mmegusia case moja tu, kama mapenzi yatafanyika usiku!
Si lazma mapenzi yafanyike usiku, hata mchana yanafanyika.
Wale wanaofanya mchana inakuaje?
Wengine tunafanya mchana wakati watoto wameenda shule kwakuwa tunakaa chumba kimoja na watoto.
***Topic closed***
 
washa taa mwanga mkaaaali yaaani kila kitu kio mwaaaaaaaaaaaa
 
Kwa sisi tunaofanya mchana kweupe utafanyaje? Au unazima jua? Wote hapa mme assume kuwa tendo linafanyika usiku tu.

ndio maana unafungua pazia maana ni hiyo yote kupunguza mwanga..
 
Kuzima au kuwasha taa ni sawa.
Hapo mmegusia case moja tu, kama mapenzi yatafanyika usiku!
Si lazma mapenzi yafanyike usiku, hata mchana yanafanyika.
Wale wanaofanya mchana inakuaje?
Wengine tunafanya mchana wakati watoto wameenda shule kwakuwa tunakaa chumba kimoja na watoto.
***Topic closed***

mbona umejibu fastafasta au unawahi gemu nini maana ndio mchana sasa..
 
mwanga ni muhim pia bt uwe co mkali,,kuna zile taa maalum za majamboz zimejaa tele shart ikiwepo ile mshawasha wazidi
 
Inategemea na wahusika wanavyojisikia 'kipenda roho hula nyama mbichi"
 
Japo ni mzee wa siku lakini huwa maada kama hizi nazipenda ili kutoa uzoefu wangu. Waokwepa taa zaidi bado wanaoneana aibu, ila all in all taa is the best maana inabidi muangaliane ili kupandishana hamu zaidi. Gizani ni kam unaiba vile.
 
Back
Top Bottom