Kuwashwa kwa ngozi

Kuwashwa kwa ngozi

Marandura

Senior Member
Joined
Jul 21, 2011
Posts
105
Reaction score
11
Kuna kijana mmoja rafiki yangu anasumbuliwa na kuwashwa kwa ngozi pindi atokapo kuoga nimemuangalia ana vijipele vidogo vidogo kwenye vinyweleo vya ngozi. Hii ni nini jamani? Na tiba yake
 
Sema ukweli wako au ni wewe mwenyewe?
 
Back
Top Bottom