leipzig
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 2,766
- 1,708
Limekuwa tatizo kubwa kwangu imefika wakati najikuna hadharani pasipo kujijua MziziMkavu funguka tafadhali!
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaribu kujipaka maziwa ya mtindi hizo sehemu zinazo kuwasha na pia Kuna dawa inaaitwa SAFI nunuwa unywe insafisha damu na tumbo inshaallah upate nafu. Utapata maduka ya Wahindi na Supermarket. Nenda pia Hospitali kajiangalie huenda unayo Maradhi ya Allergy unakula baadhi ya vyakula havikutaki wewe mwilini mwako.Limekuwa tatizo kubwa kwangu imefika wakati najikuna hadharani pasipo kujijua MziziMkavu funguka tafadhali!
Jaribu kujipaka maziwa ya mtindi hizo sehemu zinazo kuwasha na pia Kuna dawa inaaitwa SAFI nunuwa unywe insafisha damu na tumbo inshaallah upate nafu. Utapata maduka ya Wahindi na Supermarket. Nenda pia Hospitali kajiangalie huenda unayo Maradhi ya Allergy unakula baadhi ya vyakula havikutaki wewe mwilini mwako.
Si ndio maana ikaitwa dawa kuna dawa inayonukia vizuri?Yanavyonuka vibaya maziwa du..yahitaji moyo
POA tu nime ku miss jaribu kutumia tuMziziMkavu za siku;
Hayo maziwa mgando ina maana hata haya ya paketi yanayouzwa madukani yanafaa?