M Mwala J Member Joined Jan 20, 2013 Posts 62 Reaction score 40 Feb 17, 2013 #1 Habari jf members, nina miaka miwili nikiwa nawashwa masikio sana tatizo ni nini? Niliwahi kwenda hospitali nikaambiwa nina alegi nikapewa dawa lakini sikuona mabadiliko yeyote. Naombeni msaada wenu jamani.
Habari jf members, nina miaka miwili nikiwa nawashwa masikio sana tatizo ni nini? Niliwahi kwenda hospitali nikaambiwa nina alegi nikapewa dawa lakini sikuona mabadiliko yeyote. Naombeni msaada wenu jamani.
ugolo wa bibi JF-Expert Member Joined Jul 16, 2012 Posts 1,305 Reaction score 302 Feb 17, 2013 #2 weka maelezo ya kutosha umewahi kutibiwa hukupona au....(ulishawahi kupata matibabu yoyote?)
M Mwala J Member Joined Jan 20, 2013 Posts 62 Reaction score 40 Feb 17, 2013 Thread starter #3 ugolo wa bibi said: weka maelezo ya kutosha umewahi kutibiwa hukupona au....(ulishawahi kupata matibabu yoyote?) Click to expand... nilipata matibabu hayakunisaidia.
ugolo wa bibi said: weka maelezo ya kutosha umewahi kutibiwa hukupona au....(ulishawahi kupata matibabu yoyote?) Click to expand... nilipata matibabu hayakunisaidia.
WA-UKENYENGE JF-Expert Member Joined Oct 1, 2011 Posts 2,918 Reaction score 1,234 Feb 17, 2013 #4 Jaribu kuangalia kama una FUNGI!!
M Mwala J Member Joined Jan 20, 2013 Posts 62 Reaction score 40 Feb 17, 2013 Thread starter #5 WA-UKENYENGE said: Jaribu kuangalia kama una FUNGI!! Click to expand... Asante mkuu kwa ushauri wako.
WA-UKENYENGE said: Jaribu kuangalia kama una FUNGI!! Click to expand... Asante mkuu kwa ushauri wako.