Kuwashwa maskio..

Kuwashwa maskio..

Mwala J

Member
Joined
Jan 20, 2013
Posts
62
Reaction score
40
Habari jf members,
nina miaka miwili
nikiwa nawashwa masikio sana tatizo ni nini?
Niliwahi kwenda hospitali nikaambiwa nina alegi nikapewa dawa lakini sikuona mabadiliko yeyote.

Naombeni msaada wenu jamani.
 
weka maelezo ya kutosha umewahi kutibiwa hukupona au....(ulishawahi kupata matibabu yoyote?)
 
Back
Top Bottom