Kuwashwa miguu kati ya Goti na Ankle

Kuwashwa miguu kati ya Goti na Ankle

imbegete

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,299
Reaction score
992
Wadau msaada wenu unahitajika
Nimekuwa na tatizo la kuwashwa miguu eneo la kati ya goti na ankle kwa mrefu mara kwa mara.Nimekuwa nikiend hospitali najieleza and then napewa Cream ya GENTRISONE. nikipaka mwasho una acha lakini baada ya mwezi au hat miezi miwili hali inarudia tena. Najikuna hadi wakati mwingine mpaka damu inatoka na kuacha kakidonda, amabko kakipona kaacha kovu sehemu ile iliyokuwa inawasha. Wakati mwingine mwasho unacha wenyewe baada kama wiki hivi, na kurudia tena baada ya muda.

Naombeni msaada wa tiba .
 
Back
Top Bottom