Wakuu wazima?
Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la kuwashwa mwili hasa sehemu za mapaja, tumbo, mgongo na mikononi. Nikipakuna panakuwa kama nimetembelewa na mdudu.
Nilienda hosp wakasema allergy wakanipa dawa nikatumia sioni kama zinasaidia nimepima minyoo wapi.
Napata shida sana mwenye kujua tatizo hili anisaidie