Kuwashwa mwili

Kuwashwa mwili

dizasta

Member
Joined
Aug 14, 2017
Posts
8
Reaction score
2
Wakuu wazima?

Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la kuwashwa mwili hasa sehemu za mapaja, tumbo, mgongo na mikononi. Nikipakuna panakuwa kama nimetembelewa na mdudu.
Nilienda hosp wakasema allergy wakanipa dawa nikatumia sioni kama zinasaidia nimepima minyoo wapi.

Napata shida sana mwenye kujua tatizo hili anisaidie
 
Na mimi nina tatizo kama hilo limenitokea.Mpaka sasa sijaenda hospitali na sijatumia dawa yoyote ile.
 
Pole mkuu
Ebu jaribu kunywa na dawa za minyoo
 
Jaribu kwenda TMJ kuna Dr.mzuri wa ngozi kianzia saa tano asubuhi.
(Samahani sijakuuliza upo wapi)Hiyo Hosp.ni kama upo dsm.
 
Back
Top Bottom