Miss trinity
Member
- Feb 18, 2014
- 95
- 24
Nawashwa mwilini na nikijikuna kunatokea uvimbe mfano wa vipele but vinakuwa vigumu na vinawasha sana.
Je huu ni ugonjwa gani? Au ni tatizo gani?
Je huu ni ugonjwa gani? Au ni tatizo gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa JF madaktari wa kweli mara nyingi hawatoi ushauri, ni mara moja moja sana. Sana sana sisi ma-quacks ndio tutakupa ushauri ambao unaweza usiwe sahihi. Kama upo serious na afya yako, nenda hospitali.