kuwashwa na koo ikiambatana nakutoa dam.msaada tafadhali

kuwashwa na koo ikiambatana nakutoa dam.msaada tafadhali

mshana org

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2012
Posts
2,091
Reaction score
619
habari wana ndugu.binafsi tatizo hili limenitokea koo linawasha kwandani ninapojaribu kukorota yani kulikuna najikuta nikitema damu.hata asubuh wakati wa kuswaki nikisugua ulimi hali hii hujitokeza nimeshindwa kuelewa niugonjwa gani na tiba inakuaje?naombeni msaada tafadhali niepukane na halihii
 
Nenda Hospitali ya karibu unapoishi wewe kamuone Daktari ataweza kukuchunguza na kugunduwa una matatizo gani fanya upesi kamuone daktari japo hospitali za kulipia. mkuu.@mkiva
 
nashukuru ngoja nikapime mapema mkuu
 
Back
Top Bottom