Kuwashwa na kuvimba

Kuwashwa na kuvimba

masubo tapta

Member
Joined
May 17, 2014
Posts
7
Reaction score
5
Jamani kama kuna yoyote ambaye aliwahi kupata tatizo la kuwashwa na kuvimba mwili na akapona kabisa atuelekekeze wenzie kwani tumeangaika sana hospitali tukiambie tuache kula vitu mbalimbali lakini haijasaidia sasa hivi tunapoza tu na cetrizene tupo watatu hapa iringa kesi yetu inafanana, msaada chonde chonde.
 
Ni ndugu? kama ni ndugu inaweza kuwa some kind of allergy ambayo iko kwenye familia yenu. Na kama mwasho na kuvimba unapozwa na Cetrizine (anti-histamine), definitely hiyo ni allergy. Definitive treatment ya allergy ni kuepuka kile ambacho una allergy nacho, Cetrizine inapoza tu kwa kuinterfere na vichocheo vinavyotolewa wakati wa allergy (histamine) ili kusimamisha au kupunguza ukali wa reaction. Inabidi mtambue nini mna allegry nacho, na hili lina changamoto, kwani allergy test inatoa list ya vitu, haiko specific hivyo unakuwa huna hakika uepuke kipi. Definitely mnahitaji kumuona experienced Dermatologist, kwa experience yake na mkimuelezea trend ya reaction zenu plus allergy test...anaweza washauri nini cha kuepuka. Ku-rely on allergy test alone inaweza isitatue tatizo lenu.
 
Back
Top Bottom