Kuwashwa na mikono na miguu

Kuwashwa na mikono na miguu

gomz120

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2017
Posts
681
Reaction score
385
Msaada tafadhali nina tatizo la muwasho wa Mkali kwenye mikono mbele na nyuma ya vidole pia kwenye nyayo za miguu nikijikuna kunatoka malengelenge please mwenye kujua dawa anisaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom